Tatizo za toshiba laptop..!!!

Tatizo za toshiba laptop..!!!

tmg

Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
22
Reaction score
4
Hello JFs...mimi ni member mzuri wa toshiba laptop...sasa nina toshiba yangu sattelite ina tatizo inaboot lakini screen haioneshi kitu, nimebadili ram..wapi.....haioneshi kitu....ninazo kama 3 hivi wit same tatizo......msaada nini cha kufanya....angalizo kuwaka inawaka but ddnt display anything.......hata ukiunganisha na monitor ya nje....
 
Yaani ikiwaka mwanzoni huoni hata ile black screen inaykuja namaadisi meupe ya BIOS?

Basi inawezekana Onboard VGA card zina tatizo. Tataiz sio monitor sabu umeshathibitisha hilo kwa kujaribu externa monitor

So kwanza Tafuta manual yakeusome ni jinsi i gani unaweza kudischarge kabisa laptop. laptop nyingi unatoa betri na unabonyeza power button kwa dk kama moja hivi. Then unajaribu kuiwasha tena. Tembelea toshiba.com

Altenatively
itabaidi ifunguliwe na mtaalamu awe na VGA inayofanya kazi kujaribu
kufuata hatua kama hizi. How to remove and replace video (VGA) board. Guide for Toshiba Satellite 5105 laptop.
 
mwanzo ilikuwa inakubali na kusema cant get out of hibbenation..........solution update bios....but i tried to download n updates./...ckufanikiwa....lakini kweli ngoja nijaribu kuchek vga asante mzee kwa idea....hivi hapa mjini toshiba hawana technical support.../technician??????????????????
 
pamoja na hilo hili tatizo lipo sana kwa toshiba........sasa cjui wameshindwe kudeal nalo....
 
Mazee unapata tatizo na laptop mara mbili bado unang'ang'ania Toshiba tu? Wamekulisha nini? Una ubia nao nini?
 
Back
Top Bottom