Tatoo sehemu za siri!!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Jamani hivi kuchora tatoo sehemu za siri ni ujanja ama kuiga
utamaduni wa wenzetu,na mtu anasikia raha gani kufanya hivyo tena karibu na goli kabisa...
 
We utakuwa umekumbana na zeru zeru mie nimekimbizana na waaarabu sana
weuuupeeeeeeeeeeeeeeeeee ukifungua zip duh sijaona weupe wa kuonyesha
tatoooo...yamkini zeru zeru possible na hao aturuhusiwi kuwasema wana remove stress
 
Nafikiri ni mojawapo ya kupendezesha mandhari😉
 
Nafikiri ni mojawapo ya kupendezesha mandhari😉

uuwwwooohhh inapendeza sana
natamani nikutane nayo lazima niunganishe na bluetooth ikae kwenye simu yangu
 
uuwwwooohhh inapendeza sana
natamani nikutane nayo lazima niunganishe na bluetooth ikae kwenye simu yangu

Mh kwa wadada wa kibongo sio utamaduni wetu kuweka tatoo sehemu sehemu maana maswali yatakuwa mengi najua wengi wanapaka PIKO tuu labd aujaribu wadada wa kimangharibi😎
 
Mh kwa wadada wa kibongo sio utamaduni wetu kuweka tatoo sehemu sehemu maana maswali yatakuwa mengi najua wengi wanapaka PIKO tuu labd aujaribu wadada wa kimangharibi😎

kuna kabinti kanaitwa ray c kanayo mpaka uswa wa bahari,mangaribi mbali hivyo
wala akana hiyana....
 
kuna kabinti kanaitwa ray c kanayo mpaka uswa wa bahari,mangaribi mbali hivyo
wala akana hiyana....

Aha ile si ipo tumboni nadhani hihi ihihi nilidhania kwenye Tac** au karibia na K**🙄
 
Aha ile si ipo tumboni nadhani hihi ihihi nilidhania kwenye Tac** au karibia na K**🙄

wewe ndio umeiona ya tumboni!!!!uliza iliyo kwenye mstari wa ikwete na usawa wa habari!!!
 
haya maisha basi tu jamani kuna sku jamaa alikuja kukashugulikia chumbani kwangu
wamelewa chakari nikaomba kupiga deo waksema mfungulie,...laaaaa hasha
tangu kama si kuamua kuendelea kutunza ubikira wangu waalahi ningeigusa
tatooooo liveee
 
mwanahalisi mi ukiniuliza nitasema ni big no labda mie mshamba lkn tattoo mwilini mwangu ni no no,ni vitu vya kuiga sio utamaduni wetu na mie nikimuona demu na tattoo naona kama kapinda fulani sorry kwa wenye tattoo lkn huo ni mtizamo wangu.
 
wanawake wanaoweka tatoo
wengi wao wanajiuza........
fasheni bongo?
 
Ni mapambo tuu we vipi bwana! Kuvaa kata K nako tusemeje?
 
ni mapambo tuu we vipi bwana! Kuvaa kata k nako tusemeje?
'''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''pick n pay"""""""""""""""""""""
 
Wengi ni Changudoaz, mimi nikimwona tu mwanamke ana tatoo basi hisia hukata na kumshusha sana hadhi huyo dada. i hate TATOO kama Profesa Jay alivyoimba Kwmba ukiona NDUI huyo ndo MTANZANIA halisi na si Tatoo
 
Nani anaewachora hasa?? ni mwanaume??Baada au kabla ya kuchora alimfanyia nini? Kama ni mwanaume timamu sidhani kama unaweza vumilia kuona ikwata ivi ivi.
 
haya mambo haya wafaeni acheni nayo bana... you see these western ppl have done sooooooooo many good things, look at their education systems, look the way they do things professional, see how far they have reached in terms of development... that what we should look and try to copy them but lets do it better, this will be gureeeat achievement... lakini tukikaa kuwafatilisha mambo ya siyo kuwa na maana we will not reach anywhere...
 
asa, Noname,

ni kipi kisichokuwa na maana, tattoo haina maana? mbona kuna makabila mfano wamakonde, wao wanazo tabgu asili wala hawajaiga, sema inategemea ipo sehemu gani....

afu siye tunaiga lakini tunaharibu kuliko wao, mfano kama wanakula 10% kwenye ujenzi wa barabara kama commission, sisi tunalamba 90%, wapi na wapi?

uzuri au ubaya wa kitu kama tattoo ni very subjective na inategemea mtizamo wa mtu, kwangu mimi binafsi sina tatizo nayo.....in urembo tu
 
haya maisha basi tu jamani kuna sku jamaa alikuja kukashugulikia chumbani kwangu
wamelewa chakari nikaomba kupiga deo waksema mfungulie,...laaaaa hasha
tangu kama si kuamua kuendelea kutunza ubikira wangu waalahi ningeigusa
tatooooo liveee
Pdidy acha uswahili. Si useme tu ulikula mzigo ndo ukaiona hiyo tatoo ya huko ikweta unakosema. Nani anayeweza kukuruhusu upige deo hadi uone hayo yote. otherwise huna urijali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…