Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uuwwwooohhh inapendeza sana
natamani nikutane nayo lazima niunganishe na bluetooth ikae kwenye simu yangu
Mh kwa wadada wa kibongo sio utamaduni wetu kuweka tatoo sehemu sehemu maana maswali yatakuwa mengi najua wengi wanapaka PIKO tuu labd aujaribu wadada wa kimangharibi😎
kuna kabinti kanaitwa ray c kanayo mpaka uswa wa bahari,mangaribi mbali hivyo
wala akana hiyana....
you ca say that again!Nafikiri ni mojawapo ya kupendezesha mandhari😉
haya mambo haya wafaeni acheni nayo bana... you see these western ppl have done sooooooooo many good things, look at their education systems, look the way they do things professional, see how far they have reached in terms of development... that what we should look and try to copy them but lets do it better, this will be gureeeat achievement... lakini tukikaa kuwafatilisha mambo ya siyo kuwa na maana we will not reach anywhere...
Pdidy acha uswahili. Si useme tu ulikula mzigo ndo ukaiona hiyo tatoo ya huko ikweta unakosema. Nani anayeweza kukuruhusu upige deo hadi uone hayo yote. otherwise huna urijali.haya maisha basi tu jamani kuna sku jamaa alikuja kukashugulikia chumbani kwangu
wamelewa chakari nikaomba kupiga deo waksema mfungulie,...laaaaa hasha
tangu kama si kuamua kuendelea kutunza ubikira wangu waalahi ningeigusa
tatooooo liveee
Nafikiri ni mojawapo ya kupendezesha mandhari😉