Tatu bora na Tatu chafu za majina ya kike

Tatu bora na Tatu chafu za majina ya kike

Unamzungumziaje uyu zawadi[emoji1][emoji116]
Zaawaadi.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Huyo Amina umetupiga kamba aisee[emoji1][emoji1]. Sema ucharuko wa Amina mpaka uwe karibu naye sana ndiyo utamjua abc ya tabia zao. Madish yao yameyumba.
 
Huyo Amina umetupiga kamba aisee[emoji1][emoji1]. Sema ucharuko wa Amina mpaka uwe karibu naye sana ndiyo utamjua abc ya tabia zao. Madish yao yameyumba.
Hahahaaahaaa mpaka tuwe karibu nao enhhhh.... nitajaribu.
 
Aisee sijui Kuna Siri Gani na haya majina, juzi nilikuwa cafeteria nakula then nikamuona mdada hivi mzuri kweli, nikajisemea kuwa siwezi kumuacha huyu bint aende zake bila kumuongelesha, kweli alivyoinuka na kuondoka nikamsimamisha na kuanza kuongea nae. Baada ya kumpigisha story nikamuuliza unaitwa nani, akanijibu mariamu, basi bhana nikaomba namba ya simu, baada ya hapo tukawa tunachat Kwa simu, sometimes nampigia.
Kwenye kuchat Yuko active sana lakini nikimuuliza kama line yake inapokea pesa huwa hajibu chochote ila muda huohuo nikimuuliza mambo mengine anajibu. Sasa nikawa najiuliza uyu bint hapendi pesa au ananitega. Nimemuuliza kama mara tatu hivi kuhusu kumtumia pesa lakini hajibu kitu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Taratibu taratibu mkuu
 
Back
Top Bottom