Zanzibar 2020 Tatu bora urais Zanzibar kujulikana leo

Zanzibar 2020 Tatu bora urais Zanzibar kujulikana leo

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kamati kuu ya CCM inaketi leo kupitia majina matano ya wagombea urais wa Zanzibar na hatimaye kupitisha majina matatu yatakayokwenda kupigiwa kura.

Up dates;

CCM.jpg
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Magufuli akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichoketi leo tarehe 9 Julai 2020

Maendeleo hayana vyama!

UPDATES:
Tatu bora pamoja na mshindi wa kinyang'anyiro cha Ugombea Urais Zanzibar ajulikana leo Zanzibar, kujua namna mchakato ulivyoenda soma mada hii chini.
= > Breaking News: - Uchaguzi 2020: Yaliyojiri katika mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM. Dkt. Hussein Ally Mwinyi ateuliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM
 
Saalam wanabodi
CCM inaenda mpitisha mgombea wao wa urais wa Jamhuri yetu.

Fomu ilitoka moja tu ya mgombea, kwa tendo hili linatafsiri kuwa huyo tayari ndiye mgombea wao na vyama vingine.
Kuna sababu gani ya kumpitisha kwa vikao vikubwa vya kutumia gharama kubwa?

JE WAPO WANAOWEZA KUMPINGA? (Kutompitisha)
IKITOKEA WENGI HAWAKUMPITISHA NINI KITAFANYIKA ?

Karibuni
 
E WAPO WANAOWEZA KUMPINGA? (Kutompitisha)
Maswali yako ni mazuri , ila yameshajibiwa na mfumo wenyewe... dictatorship regime imetamalaki. Kwenye dictatorship mtu mmoja ni Yesu, Mungu, Katiba, Sheria, Benki Kuu, Polisi, Padre, Pope, Askofu, Sheikh, Mufti, Mwalimu, all, all all all is him!
 
Kumekucha Sasa Hivi Dodoma
Wapo Watakaolia Na Kufurahi Haraka, Tupo Hapa Dodoma Kuona Upepo Utakavyokuwa!!!
 
Back
Top Bottom