JOYOPAPASI
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 250
- 409
Katibu Mkuu Ndg Bashiru Ally akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli katika kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichoketi leo tarehe 9 Julai 2020 Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg @MagufuliJP akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichoketi leo tarehe 9 Julai 2020 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Hall Jijini Dodoma.