Zanzibar 2020 Tatu bora urais Zanzibar kujulikana leo

Zanzibar 2020 Tatu bora urais Zanzibar kujulikana leo

Kamati kuu ya CCM inaketi leo kupitia majina matano ya wagombea urais wa Zanzibar na hatimaye kupitisha majina matatu yatakayokwenda kupigiwa kura.

Up dates;

Maendeleo hayana vyama!

Tunasubiri kwa Hamu....


Twendeni na Magufuli Kiunzi Cha 2020.
 
Yote tisa kumi,CCM tuleteeni mtu bora,maana huyo ndiyo atakaye determine uekekeo wa nchi yetu kwa miaka kumi ijayo
 
Saalam wanabodi
CCM inaenda mpitisha mgombea wao wa urais wa Jamhuri yetu.

Fomu ilitoka moja tu ya mgombea, kwa tendo hili linatafsiri kuwa huyo tayari ndiye mgombea wao na vyama vingine.
Kuna sababu gani ya kumpitisha kwa vikao vikubwa vya kutumia gharama kubwa?

JE WAPO WANAOWEZA KUMPINGA? (Kutompitisha)
IKITOKEA WENGI HAWAKUMPITISHA NINI KITAFANYIKA ?

Karibuni
Kutakuwa na kura za NDIYO na HAPANA. Lakini hazitahesabiwa hapo. Matokeo mpaka Kwanza kikao kiahirishwe waweke mpagilio mzuri wa kutangaza. He he he he!!
 
Kutakuwa na kura za NDIYO na HAPANA. Lakini hazitahesabiwa hapo. Matokeo mpaka Kwanza kikao kiahirishwe waweke mpagilio mzuri wa kutangaza. He he he he!!
Wafanye figisu zote,ila watuletee mtu makini,
 
Hahaha....Slave Master Sultan Seif Sharif Hamad mshamchoka!?!
Ushike adabu yako,Wacha kabisa kumtusi Maalim

Kumwita mtu slave master wakati wewe mwenyewe ni mtumwa wa Huyo Bwana Mkubwa Kule Dodoma,Analotaka ndilo mutendalo.
Wacha Pumbaaaaa. fuuuuu
 
Hahaha....Slave Master Sultan Seif Sharif Hamad mshamchoka!?!
Seif ndio chaguo la Wazanzibari,Seif sio Mwarabu Ni Mshirazi Kama alivyokuwa Thabiti Kombo

Kama unaijua historia ya Zanzibar kulikuwa na vyama viwili vikubwa Cha Thabiti Kombo na Cha Karume..

ASP ...Afro Shirazi Part ni muunganiko wa vyama hivyo viwili...

Mkuu,sio kila mwenye ngozi ya rangi nyeupe ni Mwarabu,Seif hana uhusiano kabisa na Utumwa,..

Lete propaganda nyengine,hizi za rangi ya ngozi na Udini zimepitwa na wakati...

Tafakari
 
CCM Ubguzi ndio mila yao , Wakija Zanzibar wanatubagua kwa Uarabu,na Uafrika, Upemba na UUnguja.
Hupati ajira mpaka uwe CCM, kazi za POLISI JESHI ,MIGRATION na USALAMa wa Taifa.
Yataisha, hakuna kisichokuwa na mwisho... Time alone time will tell...
 
anaye kubalika zaidi kwa wazanzibari ndiye anapaswa kupistishwa, tusikilize sauti za WAZANZIBARI na sio kikundi cha watu wachache
 
Siri ya mchezo ni moja, yule mnayemtakia apite basi fanyeni kumkejeli sana na kumbeza vya kutosha... hivyo ndivyo atapata kibali kutoka Dodoma!

Mifano tunayo mingi: Mwigulu, Ngoma, Bashite... sipangiwi!

Yule mnayempamba sana atakatwa asubuhi tu, mzee wetu atawasapuraaaizziii!!
 
Back
Top Bottom