Ukana Shilungo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 3,041
- 2,422
"SISI" Tunamtaka huyuhuyu Mpemba .ππππMpemba huyo....hapiti!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"SISI" Tunamtaka huyuhuyu Mpemba .ππππMpemba huyo....hapiti!!!
Kwa Bara Prof Makame ndio ideal Candidate, Hussein Mwinyi ukimya wake unasabisha maswali mengi. Je atapokea orders kutoka ng'ambo ya Bahari?
Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
Na mnashangilia Raisi wenu kuteuliwa Tanganyika"SISI" Tunamtaka huyuhuyu Mpemba .ππππ
Raisi wa Zanzibar akapitishwe nchi ya Tanganyika? Usenge wa mwisho
Huyo dada mrembo karibu na khatibu ni nani?? Sababu hao waliokaa hapa ndo ccm sasa.
Kawatungia nani usenge huo? Hawajashituka tu kuwa wanabadharuliwa kukubwa?
Kwani kimetokea nini,Mkuu??hebu niweke wazi kosa langu liko Wapi?Na ww ni moderator?... Tuambie kwamba hilo jukwaaa ni la threads za chadema tu... Za kupingapinga kila kitu hovyohovyo tuaelewana... Sio jukwaa lenye mawazo huru.. Hapo tutelewa.... Sio threads za chadema ndio zinaexist but za chama tawala zinafutwa kwa kasi....
Ulishaona wapi mtu akahariri contents badala ya kuhariri utaalamu wa lugha.... Mtu unaedit hadi headings.... Badala ya typing error.... Basi endelea kuandika utupolo wenu hapa.... Ila vitu vya maana mtachelewa kuvipata... Hakika nawaambieni leo.... Niosheni matusi tu but watu wanakwazika sana
Mbarawa anatoka chokocho, Shein nae katokea chokocho π²Mbarawa eeeeeeeee
Tunakungoja kwa hamu ili tukuchinjie baharini kama tulivyomfanya Dr.Shein 1015.
CCM itakufia Mikononi mwako mwaka huu zanzibar.
Karibu Makamo wa kwanza wa Raisi mtarajiwa katika serikali ya Umoja wa kitaifa.
Wenzako tulitarajia wabadili sheria ili kukupa angalau mamlaka fulani utakapo kuwa Makamo wa kwanza,
Lakini kwa bahati mbaya hawakufanya hivyo, na kwa maana hiyo utakuwa Makamo kivuli usiye na maeno kama walivyotufanyia sisi 2010-2015.
KARIBU SANA UNGUJA.
Naomba ukija Unguja njoo na ile barua ya SMZ waliyotaka ufukuzwe chuo kule AUSTRALIA
Kwa sababu mimi sio mwanachama wa Chama hicho itakuwa vigumu kukujibu.
Ila logic ni Makao makuu ya CCM yako Dodoma na ndio wanapofanya mkutano mkuu wa kuchagua wanachama watakaogombea nafasi mbalimbali ikiwemo Urais.
Labda kwa baadae CCM ingegawanywa CCM Znz ingepewa nguvu zaidi kuliko ilivyo sasa.
Lakini hili suala ni la miaka mingi halijaanzia kwa JPM.
Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
Khalid
Nahodha
Mbarawa
Husein
Khamis
-------------*----------*-----------*******------
Husein
Khalid
Nahodha
----------*---------*--------*--------*--+---*
Khalid
Nahodha
****----------********-------*****+--------
Ramli inaonyesha Dr Khalid ndio rais wa Zanzibar...
Unakaribishwa kuuliza kwani iko hivyo
achana nao hao watumwa wa watawala, lichama lenyewe linalazimisha kupendwaKwani kimetokea nini,Mkuu??hebu niweke wazi kosa langu liko Wapi?
Si unajua tuko hapa kwa kuelimishana na kutoana wakosa sio kulaumiana..
Mkuu mimi sio mdau wa chama chochote cha siasa,.. yoyote atakae chukua nchi kwangu poa tu..
Huyo dada mrembo karibu na khatibu ni nani?? Sababu hao waliokaa hapa ndo ccm sasa.
naendelea kukazia, huyo dada ndio nani? naona kaipamba hiyo pichaHuyo mwenye kitambi cha makalio?
Usitutishe1. Dk. Khalid Salum Mohamed,
2. Khamis Mussa Omar, β
3. Dk. Hussein Mwinyi,β
4. Shamsi Vuai Nahodha
5. Profesa Makame Mbarawa)β
Naota kama vile Hii ndio 3 bora kwa leo
katika hao mwenye tik nyeusi ndio chaguo la mwisho bora kwa CCm.