Zanzibar 2020 Tatu bora urais Zanzibar kujulikana leo

Zanzibar 2020 Tatu bora urais Zanzibar kujulikana leo

Mzee mwinyi mkapa kikwete wanamtaka mwinyi mtoto na Magufuli anamtaka Mbawala sasa kimbembe usije kushangaa kura za hasira wakampa Nahodha asiye na kambi yeyote
 
Watu kitu ambacho hawakijui kamati kuu ya ccm imajaa magwiji wa kutoa maamuzi magumu haijalishi mwenyekiti umekuja na mapendekezo yako wanayawekafukoni wanakupa chaguo lenye maslai mapana ya nchi ,narudia hili hakuna mwenyekiti wa ccm ambaye kafanikiwa kumpendekeza mtu wake akafanikiwa znz au mama Tz...Dr mzanzibara kesho anapewa presidential security
 
Watu kitu ambacho hawakijui kamati kuu ya ccm imajaa magwiji wa kutoa maamuzi magumu haijalishi mwenyekiti umekuja na mapendekezo yako wanayawekafukoni wanakupa chaguo lenye maslai mapana ya nchi ,narudia hili hakuna mwenyekiti wa ccm aliyepewa pendekezo lake la mtu kuwa Rais wa znz au mama Tz...Dr kesho anapewa presidential security
Dr. Mwinyi au Dr. Khalid?
 
Kamati kuu ya CCM inaketi leo kupitia majina matano ya wagombea urais wa Zanzibar na hatimaye kupitisha majina matatu yatakayokwenda kupigiwa kura.

Up dates;

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Magufuli akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichoketi leo tarehe 9 Julai 2020

Maendeleo hayana vyama!
Magamba bana yaani nchi imo uchumi wa chini Kati yenyewe yanashangilia,
 
Khalid
Nahodha
Mbarawa
Husein
Khamis

-------------*----------*-----------*******------
Husein
Khalid
Nahodha

----------*---------*--------*--------*--+---*
Khalid
Nahodha
****----------********-------*****+--------
Ramli inaonyesha Dr Khalid ndio rais wa Zanzibar...

Unakaribishwa kuuliza kwani iko hivyo
Kama nilivyotabiri kwenye list yangu ndivyo ilivyokuwa Nasikia leo majina matatu yametajwa Kama ifuatavyo

Dr Khalid
Hussein
Nahodha

Ukweli uko pale pale Kama ilivyo kwenye list yangu kuwa Dr Khalid ndie mgombea uraisi upande wa Zanzibar kupitia CCM[/b]
 
Mzukulu umechemka pole sana inabidi ukamrudishie chenji mzee mbarawa maana ulimnadi sana☺☺☺

Kwani kuna Kosa kwa Mimi Kumnadi Yeye Ndugu? Si nimetimiza Haki yangu kwa Mtu niliyekuwa nikimtaka ila CCM hawajamtaka? Ninampongeza.
 
Back
Top Bottom