Zanzibar 2020 Tatu bora urais Zanzibar kujulikana leo

Zanzibar 2020 Tatu bora urais Zanzibar kujulikana leo

Za wagombea CHADEMA zinakaa jukwaa la siasa za CCM zinahamishimiwa subforum!!! Hata za Akina nabii shila kugombea kupitia chadema ni Jukwaa la SIASA za CCM NI SUBFORUM!!!!

Ila sio zote za CCM ziko subforum kule zinapelekwa zikae kidogo tu halafu zinapotezewa for good na hii inapumulia mashine itayeyushwa lakini za CHadema utaendelea kuziona jukwaa kuu la siasa sio subforum
Aisee ...sikulijua hili. Hata hivyo, ngoja niendelee kufuatilia mwenendo.
 
Mimi naona hamna kuzuga isipokuwa ni nafasi ya mafia kula pesa hapo , Wazanzibari si rahisi kuzugwa kwa haya madhila tunayoyapata toka mavamizi ya 1964
Na katika hilo bro.. thats why nawaheshimu ndugu zangu wa z'bar kuliko kitu chochote
 
Tatu bora
1.pereira silima
2.khamisi musa
3.........sio makame wala mwinyi!!!yule mwingine nimemsahau!!!!msaada tafadhali!!!
Narudia kuwaambia tena mtapiga lamli bubu hapa mpaka mchanganyikiwe..... Kama mtaendelea kufuta threads za makada.... Na kuacha za Wapingaji hovyo.... Basi mambo nyeti kujua mtabidi msubili.... Ona sasa mnavyosumbuka.... Majina yameshajulikana ila sasa.... Nani awaambie wakati mnafuta nyuzi?
 
Mimi naona hamna kuzuga isipokuwa ni nafasi ya mafia kula pesa hapo , Wazanzibari si rahisi kuzugwa kwa haya madhila tunayoyapata toka mavamizi ya 1964
Nimeona nguvu ya act ilivyokubwa huko .. nilifurahi hadi machozi...
Sasa huku kwetu washenzi wanaunga mkono upumbavu.
 
Kamati kuu ya CCM inaketi leo kupitia majina matano ya wagombea urais wa Zanzibar na hatimaye kupitisha majina matatu yatakayokwenda kupigiwa kura.

Up dates;

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Magufuli akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichoketi leo tarehe 9 Julai 2020

Maendeleo hayana vyama!

Isles next President is Professor Makame Mbarawa Mnyaa.
 
Back
Top Bottom