johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hivi Jecha amekubaliana na matokeo ya awali?😂😂Kamati kuu ya CCM inaketi leo kupitia majina matano ya wagombea urais wa Zanzibar na hatimaye kupitisha majina matatu yatakayokwenda kupigiwa kura.
Up dates;
Maendeleo hayana vyama!
KARIBU PROF MAKAME MBARAWA 😁😁😂😂👊👊👊Hivi Jecha amekubaliana na matokeo ya awali?😂😂
Maswali yako ni mazuri , ila yameshajibiwa na mfumo wenyewe... dictatorship regime imetamalaki. Kwenye dictatorship mtu mmoja ni Yesu, Mungu, Katiba, Sheria, Benki Kuu, Polisi, Padre, Pope, Askofu, Sheikh, Mufti, Mwalimu, all, all all all is him!E WAPO WANAOWEZA KUMPINGA? (Kutompitisha)
Mpemba huyo....hapiti!!!KARIBU PROF MAKAME MBARAWA 😁😁😂😂👊👊👊
Nyie?Sisi wazanzibar tunamtaka Jecha
Hahahaha, tumeota wote ..naProf makame
Dr mwinyi
Dr khalid
.Naota
Hahaha....Slave Master Sultan Seif Sharif Hamad mshamchoka!?!Sisi wazanzibar tunamtaka Jecha