Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna muda unawaza ni ujinga mkubwa sana kuruhusu hawa wanawake kwenye michezo ya kiume, wakae jikoni huko wachambue mchele na kupika.
Kila sehemu wanapowekwa kitu wanachojua ni kuharibu tu.
Huyu Tatu ni kituko. Sijajua pale TFF ana mahusiano na Nani?Kuna muda unawaza ni ujinga mkubwa sana kuruhusu hawa wanawake kwenye michezo ya kiume, wakae jikoni huko wachambue mchele na kupika.
Kila sehemu wanapowekwa kitu wanachojua ni kuharibu tu.
Kwa kweli pale amepuyanga.Kwa tukio la Leo Mechi ya Azam Vs Pamba nadhani TFF mtambeba tena huyu refa wenu wa ovyo.
Tatu mi naona alikuwa sahihi, mchezaji wa Pamba kafanyiwa faulo nje ya 18. Na kuhusu lile goli, hata bila faulo ningelikataa mchezaji wa Pamba kabla ya kufunga alikuwa kaotea. Mi naona alifanya maamuzi sahihi kutoa faulo.Kwa tukio la Leo Mechi ya Azam Vs Pamba nadhani TFF mtambeba tena huyu refa wenu wa ovyo.
Angalia vizur hamna alieoteaTatu mi naona alikuwa sahihi, mchezaji wa Pamba kafanyiwa faulo nje ya 18. Na kuhusu lile goli, hata bila faulo ningelikataa mchezaji wa Pamba kabla ya kufunga alikuwa kaotea. Mi naona alifanya maamuzi sahihi kutoa faulo.
Kiongozi wa wanawake ss anavyokuangalia na kauli Yako hyo mkuu😅😅😅Kuna muda unawaza ni ujinga mkubwa sana kuruhusu hawa wanawake kwenye michezo ya kiume, wakae jikoni huko wachambue mchele na kupika.
Kila sehemu wanapowekwa kitu wanachojua ni kuharibu tu.
Mzee umeangalia mpira kweli. Hakuna mchezaji alieotea na kwenye ile faulo alitakiwa kutoa advantage kwakua ni tukio ambalo halizidi sekunde kwa waamuzi makini lile ni goli. Azam nao wameanza kupata faida za kiyanga na Simba kutoka kwa waamuzi tusisikie malalamiko ya waamuzi huko mbeleniTatu mi naona alikuwa sahihi, mchezaji wa Pamba kafanyiwa faulo nje ya 18. Na kuhusu lile goli, hata bila faulo ningelikataa mchezaji wa Pamba kabla ya kufunga alikuwa kaotea. Mi naona alifanya maamuzi sahihi kutoa faulo.
Mpole hakuotea,walipokuwa wanakimbia wachezaji wa Azam wakamfanyia foul akaanguka,aliyepiga goli hakuwa offside Mpole wakati anafanyiwa foul yeye alikuwa nyuma anakuja,labda umeangalia mechi tofauti.Tatu mi naona alikuwa sahihi, mchezaji wa Pamba kafanyiwa faulo nje ya 18. Na kuhusu lile goli, hata bila faulo ningelikataa mchezaji wa Pamba kabla ya kufunga alikuwa kaotea. Mi naona alifanya maamuzi sahihi kutoa faulo.
Mkuu, rudia kuangalia clip. Mpole kafanyiwa faulo nje kidogo lkn Mpira ukamfikia mwenzake lkn Tatu alishapuliza kipyenga kuashiria Mpole ndo kafanya faulo. Mwamuzi wa pembeni alishaita Kati na Wachezaji wa Pamba wakaanza kushangilia, hapo ndo Tatu alipokuja na wazo la kuwapoza Kwa kuwapa faulo. Na Kwa vile ni faulo na Mpole alikuwa na scoring opportunity, je haikustahili Kadi hata ya njiani?Tatu mi naona alikuwa sahihi, mchezaji wa Pamba kafanyiwa faulo nje ya 18. Na kuhusu lile goli, hata bila faulo ningelikataa mchezaji wa Pamba kabla ya kufunga alikuwa kaotea. Mi naona alifanya maamuzi sahihi kutoa faulo.
she was fairMakalio kama mashudu