New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,880
- 3,794
Mkuu kama hukuangalia mpira sio ulazima uchangieTatu mi naona alikuwa sahihi, mchezaji wa Pamba kafanyiwa faulo nje ya 18. Na kuhusu lile goli, hata bila faulo ningelikataa mchezaji wa Pamba kabla ya kufunga alikuwa kaotea. Mi naona alifanya maamuzi sahihi kutoa faulo.
Hakuna mtu aliyeotea
Line 1 aliitisha kati kwamba ni goli
Tatu Malogo aliwapa faulo azam
Baada ya mzozano akawapa faulo pamba
Upumbavu mtupu