Mkuu kama hukuangalia mpira sio ulazima uchangieTatu mi naona alikuwa sahihi, mchezaji wa Pamba kafanyiwa faulo nje ya 18. Na kuhusu lile goli, hata bila faulo ningelikataa mchezaji wa Pamba kabla ya kufunga alikuwa kaotea. Mi naona alifanya maamuzi sahihi kutoa faulo.
We nawe unaanzishaga mada za pumba hata comments zako ni pumba tu.that was a foul. TATU YUPO SAHII ACHENI SIASA BHANA
Atakuwa bwana anambeba pale.Kwa tukio la Leo Mechi ya Azam Vs Pamba nadhani TFF mtambeba tena huyu refa wenu wa ovyo.
ni mpuuzi kabisaKwa tukio la Leo Mechi ya Azam Vs Pamba nadhani TFF mtambeba tena huyu refa wenu wa ovyo.
Sawa, mchezaji na Pamba kaotea na faulo wanapewa Pamba haohao!!!?? Kwa tukio lile dada yako hateteeki.Tatu mi naona alikuwa sahihi, mchezaji wa Pamba kafanyiwa faulo nje ya 18. Na kuhusu lile goli, hata bila faulo ningelikataa mchezaji wa Pamba kabla ya kufunga alikuwa kaotea. Mi naona alifanya maamuzi sahihi kutoa faulo.
Kuwapa waamuzi wa kike haki ya kuchezesha mechi kwenye ligi ya wanaume, huku na wenyewe wakiwa wana ligi yao; kwangu naona ni upumbavu wa kiwango cha juu sana.Kuna muda unawaza ni ujinga mkubwa sana kuruhusu hawa wanawake kwenye michezo ya kiume, wakae jikoni huko wachambue mchele na kupika.
Kila sehemu wanapowekwa kitu wanachojua ni kuharibu tu.
Na pia goli lilifungwa wakati tayari alishapuliza kipyenga....yeye alielekeza adhabu ipigwe kuelekea kwa pamba ...Tatu mi naona alikuwa sahihi, mchezaji wa Pamba kafanyiwa faulo nje ya 18. Na kuhusu lile goli, hata bila faulo ningelikataa mchezaji wa Pamba kabla ya kufunga alikuwa kaotea. Mi naona alifanya maamuzi sahihi kutoa faulo.