Robert Heriel Mtibeli JF-Expert Member Joined Mar 24, 2018 Posts 28,297 Reaction score 68,017 Jan 15, 2022 Thread starter #21 Decor Bysco said: Acha nikausikilize kwanza Click to expand... Sawa Boss Kisha urudi utupe maana
Robert Heriel Mtibeli JF-Expert Member Joined Mar 24, 2018 Posts 28,297 Reaction score 68,017 Jan 15, 2022 Thread starter #22 AGITATOR said: Tausi hangaya. Click to expand... Noma
Usher-smith MD JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 9,558 Reaction score 12,335 Jan 15, 2022 #23 Alivalishwa na kofia kabisa [emoji16], ulitegemea nini
K Kibuzimzinga JF-Expert Member Joined Jul 9, 2020 Posts 209 Reaction score 247 Jan 15, 2022 #24 ROBERT HERIEL said: Nchi imelaaniwa au watu wake ndio wamelaaniwa Mkuu? Click to expand... Si wote waliyo laaniwa, baadhi ndo wenye laana!! Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
ROBERT HERIEL said: Nchi imelaaniwa au watu wake ndio wamelaaniwa Mkuu? Click to expand... Si wote waliyo laaniwa, baadhi ndo wenye laana!! Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 14,516 Reaction score 50,658 Jan 15, 2022 #25 Awamu ya 5 iliendeshwa kibandidu staili ya ukinipiga ngumi ya skio nakupiga ngumi ya pua ukiniuliza unaiskiaje nakuuliza umeionaje Ni majasiri wachache kama kina Asad ndo walifungua midomo yao kusema ukweli waliobaki walikua panya tu
Awamu ya 5 iliendeshwa kibandidu staili ya ukinipiga ngumi ya skio nakupiga ngumi ya pua ukiniuliza unaiskiaje nakuuliza umeionaje Ni majasiri wachache kama kina Asad ndo walifungua midomo yao kusema ukweli waliobaki walikua panya tu
MTAU JR JF-Expert Member Joined Aug 29, 2021 Posts 216 Reaction score 305 Jan 15, 2022 #26 Rais2045 said: mirija ya kula watu wamekita miguu,haipitisi tena ujaji Sizonje mpenda misifa alishakata kamba,ndiye aliyekuwa anamweka mjini. Na samia hapendi shobo,sasa atakula wapi!? Pesa ya kampeni ya Mtu Ni Choo haitmtoshi. Kutembea peku kwataka moyo. Click to expand... Ivi mtu ambaye havai viatu utampaje campeni ya nyumba ni choo?
Rais2045 said: mirija ya kula watu wamekita miguu,haipitisi tena ujaji Sizonje mpenda misifa alishakata kamba,ndiye aliyekuwa anamweka mjini. Na samia hapendi shobo,sasa atakula wapi!? Pesa ya kampeni ya Mtu Ni Choo haitmtoshi. Kutembea peku kwataka moyo. Click to expand... Ivi mtu ambaye havai viatu utampaje campeni ya nyumba ni choo?