TAWA ni matapeli tu hawana lolote. Natamani Hayati Magufuli angekuwa hai

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Hawa wahuni tangu watuambie wanafuatilia zile nyara zilizo kamatwa Australia mpaka leo Hakuna mrejesho mwaka unaisha sasa

Afu leo wanakwambia wataleta ufafanuzi juu ya mamba aliyeuawa upuuzi Mtupu. Ivi tuna TISS kweli?

Nchi hii kuna watu wanafaa kunyongwa ili kuwatia Adabu nao ni TAWA na Tanesco.

See here free ranging in Tanzania.. Nchi haina mwenyewe.

View attachment 2855206
Kwani alivyokuwa hai ndio uwindaji ulikoma? Punguza upumbavu.Hii hapa trend ya Mapato ya uwindaji wa Kitalii 👇

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1740076153786753070?t=xtyg7lh4pqAH_SQhrF7crg&s=19

Na Kwa taarifa Yako tuu watu wote wenye shobo Huwa hawadumu hata wewe Ukiwa na shobo huko mtaani kwako utaishia shimoni.
 
Mapato ya Watalii kuwaona wanyama ni makubwa kuliko hayo ya kuwaua hawa waswahili wangeacha kutoa vibali vya kuuawa Simba maana zipo mbuga Simba mnafanya kumtafuta alipo..Mamba kauawa hakuna anaejua mpaka wakina Carl Peter wanatuma wao mtandaoni ndio tunastuka bongo bhana...
 
Habari imesambaa Duniani kwamba kuna mamba mkubwa mwenye umri wa takribani miaka mia moja ameawa Tanzania. Wamehojiwa wamesema wanafanya uchunguzi
 
Ni kwamba watu hawajui uwindaji upo kisheria au? Hakuna kosa Hapo labda mbadilishe sheria going forward. Kusitisha uwindaji pose a bigger threat than kuacha ufanyike kihalali kwa kufuata sheria.

Unataka TISS wafuatilie uwindaji na umeme? Nonsense.
 
IMG_20231227_224342.jpg
 
Habari imesambaa Duniani kwamba kuna mamba mkubwa mwenye umri wa takribani miaka mia moja ameawa Tanzania. Wamehojiwa wamesema wanafanya uchunguzi
Je ni sababu zipi zinazofanya watu kuua Wanyama , ?

Hata panya anabidi kuishi kuua viumbe hai sio jambo zuri na halileti picha nzuri mamba kama huyo kuuliwa kwake ni hasara na sio faida.
 
Ni kwamba watu hawajui uwindaji upo kisheria au? Hakuna kosa Hapo labda mbadilishe sheria going forward. Kusitisha uwindaji pose a bigger threat than kuacha ufanyike kihalali kwa kufuata sheria.

Unataka TISS wafuatilie uwindaji na umeme? Nonsense.
Shida ipo ni kama amelidhalilisha taifa kwa kupost hewani na kuchekelea.
 
How? Y'all reaching.

Watalii wakienda Serengeti mnawaambia wasipige picha?

Hawa wamewinda legally na kupiga picha wamevunja sheria gani?
 
Kwani alivyokuwa hai ndio uwindaji ulikoma? Punguza upumbavu.Hii hapa trend ya Mapato ya uwindaji wa Kitalii 👇

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1740076153786753070?t=xtyg7lh4pqAH_SQhrF7crg&s=19

Na Kwa taarifa Yako tuu watu wote wenye shobo Huwa hawadumu hata wewe Ukiwa na shobo huko mtaani kwako utaishia shimoni.

Yaani we Ni kenge kwerikweri badala ya kujibu hoja unatukana watu, still i say TAWA pamoja na wewe ni Matapeli hamna cha kuisaidia Tanzania
 
How? Y'all reaching.

Watalii wakienda Serengeti mnawaambia wasipige picha?

Hawa wamewinda legally na kupiga picha wamevunja sheria gani?
To you

Labda bongo tumeamua kutangaza utalii kwa njia hii.
 
Habari imesambaa Duniani kwamba kuna mamba mkubwa mwenye umri wa takribani miaka mia moja ameawa Tanzania. Wamehojiwa wamesema wanafanya uchunguzi
Huyo mtalii nachojua amelipia kibali na yeye amefurahi kutimiza ndoto yake ya kuua mamba mkubwa na mkongwe Kwa kiasi hicho......kosa la TAWA ni kuruhusu amuue huyo mamba ambaye wangeweza kumpromote watalii wakaja wengi kumuona
 
Back
Top Bottom