TAWA ni matapeli tu hawana lolote. Natamani Hayati Magufuli angekuwa hai

TAWA ni matapeli tu hawana lolote. Natamani Hayati Magufuli angekuwa hai

Kumbukeni kuna NATIONAL PARKS NA GAME RESERVE.

NATIONAL PARKS huko Masuala ya uwindaji ni MARUFUKU.

GAME RESERVE huko ndiko kunakoruhusiwa shughuli za uwindaji.
.
Tanzania siyo kisiwa watalii wanakuja kwa malengo mbalimbali likiwemo la uwindaji kwa kufuata taratibu halali ambazo ziko chini ya TAWA.
 
Ishatoka hiyo tena kwa Mamba ndio kabisaa...hiyo video imedukuliwa wasizwa walikua wanatumiana kwenye kundi lao la uwindaji Mzalendo mmoja mzungu akaamua kuisambaza huku TAWA hawajui kitu na Wazalendo wenzao..
 
Back
Top Bottom