The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Kwani alivyokuwa hai ndio uwindaji ulikoma? Punguza upumbavu.Hii hapa trend ya Mapato ya uwindaji wa Kitalii 👇Hawa wahuni tangu watuambie wanafuatilia zile nyara zilizo kamatwa Australia mpaka leo Hakuna mrejesho mwaka unaisha sasa
Afu leo wanakwambia wataleta ufafanuzi juu ya mamba aliyeuawa upuuzi Mtupu. Ivi tuna TISS kweli?
Nchi hii kuna watu wanafaa kunyongwa ili kuwatia Adabu nao ni TAWA na Tanesco.
See here free ranging in Tanzania.. Nchi haina mwenyewe.
View attachment 2855206
Duuuh....angekuwa mzawa agekuwa ameshachongwa nyayo na kuachwa kwenye mbigiri.
SawaWazawa hamfuati sheria ndo tatizo lenu.
Je ni sababu zipi zinazofanya watu kuua Wanyama , ?Habari imesambaa Duniani kwamba kuna mamba mkubwa mwenye umri wa takribani miaka mia moja ameawa Tanzania. Wamehojiwa wamesema wanafanya uchunguzi
Shida ipo ni kama amelidhalilisha taifa kwa kupost hewani na kuchekelea.Ni kwamba watu hawajui uwindaji upo kisheria au? Hakuna kosa Hapo labda mbadilishe sheria going forward. Kusitisha uwindaji pose a bigger threat than kuacha ufanyike kihalali kwa kufuata sheria.
Unataka TISS wafuatilie uwindaji na umeme? Nonsense.
Shida ipo ni kama amelidhalilisha taifa kwa kupost hewani na kuchekelea.
Yaani we Ni kenge kwerikweri badala ya kujibu hoja unatukana watu, still i say TAWA pamoja na wewe ni Matapeli hamna cha kuisaidia TanzaniaKwani alivyokuwa hai ndio uwindaji ulikoma? Punguza upumbavu.Hii hapa trend ya Mapato ya uwindaji wa Kitalii 👇
View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1740076153786753070?t=xtyg7lh4pqAH_SQhrF7crg&s=19
Na Kwa taarifa Yako tuu watu wote wenye shobo Huwa hawadumu hata wewe Ukiwa na shobo huko mtaani kwako utaishia shimoni.
Hoja gani uliyoandika zaidi ya ujinga?Yaani we Ni kenge kwerikweri badala ya kujibu hoja unatukana watu, still i say TAWA pamoja na wewe ni Matapeli hamna cha kuisaidia Tanzania
To youHow? Y'all reaching.
Watalii wakienda Serengeti mnawaambia wasipige picha?
Hawa wamewinda legally na kupiga picha wamevunja sheria gani?
Labda bongo tumeamua kutangaza utalii kwa njia hii.How? Y'all reaching.
Watalii wakienda Serengeti mnawaambia wasipige picha?
Hawa wamewinda legally na kupiga picha wamevunja sheria gani?
Huyo mtalii nachojua amelipia kibali na yeye amefurahi kutimiza ndoto yake ya kuua mamba mkubwa na mkongwe Kwa kiasi hicho......kosa la TAWA ni kuruhusu amuue huyo mamba ambaye wangeweza kumpromote watalii wakaja wengi kumuonaHabari imesambaa Duniani kwamba kuna mamba mkubwa mwenye umri wa takribani miaka mia moja ameawa Tanzania. Wamehojiwa wamesema wanafanya uchunguzi
we ni ng'ombe sina haja ya kuendelea kubishana na wewe mtafute chipukizi mwenzako lucasHoja gani uliyoandika zaidi ya ujinga?