Kumbukeni kuna NATIONAL PARKS NA GAME RESERVE.
NATIONAL PARKS huko Masuala ya uwindaji ni MARUFUKU.
GAME RESERVE huko ndiko kunakoruhusiwa shughuli za uwindaji.
.
Tanzania siyo kisiwa watalii wanakuja kwa malengo mbalimbali likiwemo la uwindaji kwa kufuata taratibu halali ambazo ziko chini ya TAWA.