Tawala tatu ndani ya Familia. Chunga Sana!

Hata hivyo inaonekana huko mbeleni fedha na mali hupungua sana tija, upweke huwa kikwazo kikubwa hivyo hawa wazee wanahitaji zaidi ku-socialize
 
 
Duh, ni kweli uzoefu unaonyesha utawala wa Kwanza huwa unapungua nguvu ktk miaka ya utu-uzima hivyo mtawala wa pili (second runner) huchukua nafasi. Kutokana na hilo naona kwa walioajiliwa endapo wangekuwa wakilipwa ktk mfumo wa kikokotoo matatizo yasingewapata, kwani 'maza na machalii' wake wakitaka kukusababishia mattress ili usepe Basi na zile pesa za mgao ndio itakuwa fullstop. Kwani kwa mfumo huu wa sasa wanajua dingi akistaafu na pesa imeisha, basi anakuwa hana jipya tena hivyo wanaanza kumsaport mama yao zaidi huku dingi akibaki anakufa na tai shingoni
 


Naam Mkuu
 
Lazima nisome maandiko yako mkuu, unaelimisha Sanaa[emoji847]
 
Jamii vichaa ni wengi sana yaani sijui watu wanastress za maisha , yani mtoa mada kasema yake kwa manufaa ya wasomaji alafu kuna chizi sijui katokea wapia analeta za ajabu yani tukapate chanjo jamani...
Hao wengi wao wanakuwaga Wasela mavi! Wameshapoteza direction ya Maisha ndiyo maana wanakuwa na hasira sana hata kwa kitu kidogo tu!!
 
Ndugu ubarikiwe sana kwa ujumbe na somo zuri sana la kiimani, limenigusa na kunavitu naviona vilinitokea na vinanitokea ktk hilo somo lako. ubarikiwe sana.
Na mimi ndo hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…