Dodoma ni mji unaojengeka kwa kasi sana. Fursa hii itawafaa sana wakazi wa Dodoma hasa hasa wanafunzi wa chuo, wabunge na viongozi wengine wa serikali.Mtapiga hela za wanachuo kinoma,mmewafikia wakazi wa Dodoma kwa muda muafaka.
Ni kweli kabisa mzigua90Kati ya jambo Taxify mmelifanya ni hili kupeleka hiyo huduma Dodoma.
Sawa. NarekebishaFursa tafadhali mkuu. Sio fursa.
Hasahasa wanachuo,huwa maranyingi wanahangaika sana kushuka kwenda mjini wakitokea vyuoni pale wanapohitajika kwenda kwenye nyumba za wageni,bodaboda hukosekana muda mwingine,huduma hii ni muhimu,najua uhitaji wa usafiri kule,hasa UDOM.Dodoma ni mji unaojengeka kwa kasi sana. Fursa hii itawafaa sana wakazi wa Dodoma hasa hasa wanafunzi wa chuo, wabunge na viongozi wengine wa serikali.
Zipo vizuri. Tembelea site ya Taxify kujua zaidi.Hawa huduma zao zikoje..?
Kati ya jambo Taxify mmelifanya ni hili kupeleka hiyo huduma Dodoma.