TAXIFY DODOMA

TAXIFY DODOMA

D Vice

Member
Joined
Sep 24, 2018
Posts
59
Reaction score
40
Mfumo wa usafiri wa kimtandao wa Taxify sasa wawafikia wakazi wa dodoma.
Kwa yeyote anaehitaji madereva wa hesabu au mkataba usisite kuwasiliana na jobsfacilitators@gmail.com
Madereva wanapatikana, wastaarabu na waaminifu na wenye uzoefu na kazi.
Gari
Ist,raum,ipsum,vitz,passo,carina,ractis,na zingene ndogo ndogo

Kwa muhitaji wa dereva kutoka katika kampuni yetu, bofya email hapo chini

Jobsfacilitators@gmail.com

WANADODOMA TUCHANGAMKIE FURSA BADO CHANGA.
 
Mtapiga hela za wanachuo kinoma,mmewafikia wakazi wa Dodoma kwa muda muafaka.
 
Mtapiga hela za wanachuo kinoma,mmewafikia wakazi wa Dodoma kwa muda muafaka.
Dodoma ni mji unaojengeka kwa kasi sana. Fursa hii itawafaa sana wakazi wa Dodoma hasa hasa wanafunzi wa chuo, wabunge na viongozi wengine wa serikali.
 
Kati ya jambo Taxify mmelifanya ni hili kupeleka hiyo huduma Dodoma.
 
Mzunguko wa hela Dodoma ni mdogo sana!.. Unaweza anzisha biashara watu kwa 'ushamba' wakajaa, lakini baada ya muda hata ufanyaje customer base yake inarudi chini!.
Sijui Taxify wataenda na strategy ipi!, Nawatakia biashara njema!.
 
Dodoma ni mji unaojengeka kwa kasi sana. Fursa hii itawafaa sana wakazi wa Dodoma hasa hasa wanafunzi wa chuo, wabunge na viongozi wengine wa serikali.
Hasahasa wanachuo,huwa maranyingi wanahangaika sana kushuka kwenda mjini wakitokea vyuoni pale wanapohitajika kwenda kwenye nyumba za wageni,bodaboda hukosekana muda mwingine,huduma hii ni muhimu,najua uhitaji wa usafiri kule,hasa UDOM.
 
Kati ya jambo Taxify mmelifanya ni hili kupeleka hiyo huduma Dodoma.

dodoma mji ni mdogo sana.. na wengi hawana kupato... wenye kipato ni wachache sana na hao wachache karibu wote wana magari yao...

wanachuo wa udom wana tofauti kubwa sana na wanafunzi wa vyuo vya dar

nipo excited kuona strategy ambayo taxify wataenda nayo... wakienda normal way wanafeli
 
Back
Top Bottom