Tayari jamaa washafanya yao huko misri

Tayari jamaa washafanya yao huko misri

Street Hustler

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
2,175
Reaction score
4,299
Kwa jinsi ninavyowajua Algeria na jinsi wanavyocheza leo inaona Kuna points Tanzania itachukua leo sema wachezaji wetu n wadogo Sana kwa maana ya umbo japo mahindi, mchele, mihogo, mtama, mbuzi, ngombe, kuku wa kienyeji, mchicha, kisamvu, matembele vyote vinapatikana kirahisi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa jinsi ninavyowajua Algeria na jinsi wanavyocheza leo inaona Kuna points Tanzania itachukua leo sema wachezaji wetu n wadogo Sana kwa maana ya umbo japo mahindi, mchele, mihogo, mtama, mbuzi, ngombe, kuku wa kienyeji, mchicha, kisamvu, matembele vyote vinapatikana kirahisi
 
Kwa jinsi ninavyowajua Algeria na jinsi wanavyocheza leo inaona Kuna points Tanzania itachukua leo sema wachezaji wetu n wadogo Sana kwa maana ya umbo japo mahindi, mchele, mihogo, mtama, mbuzi, ngombe, kuku wa kienyeji, mchicha, kisamvu, matembele vyote vinapatikana kirahisi
islam slimani achez na mwantika unategmea nn
 
Sammata wanamkaba sana hawa arabians,hata hapimui,ila nahisi five goal leo kwa sisiem stars
 
Back
Top Bottom