Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
Kwa jinsi ninavyowajua Algeria na jinsi wanavyocheza leo inaona Kuna points Tanzania itachukua leo sema wachezaji wetu n wadogo Sana kwa maana ya umbo japo mahindi, mchele, mihogo, mtama, mbuzi, ngombe, kuku wa kienyeji, mchicha, kisamvu, matembele vyote vinapatikana kirahisi