Unafikiri mahakamani ukisema tu umetumwa na JIWE UNAACHIWA?Tujiulize kwa kutumia akili za kawaida tu. Mkuu wa wilaya atoke wilaya nyingine alafu aende kufanya uhalifu wilaya nyingine? Hii ni ngumu.
Kwanini Kenan Kihongosi aliyekuwa mkuu wa wilaya Arusha aliruhusu huu uhalifu?
Tujiulize kwa kutumia akili za kawaida tu. Mkuu wa wilaya atoke wilaya nyingine alafu aende kufanya uhalifu wilaya nyingine? Hii ni ngumu.
Kwanini Kenan Kihongosi aliyekuwa mkuu wa wilaya Arusha aliruhusu huu uhalifu
Sabaya aachiwe huru ili alio wapora wamshughulikie kibinafsi.Tujiulize kwa kutumia akili za kawaida tu. Mkuu wa wilaya atoke wilaya nyingine alafu aende kufanya uhalifu wilaya nyingine? Hii ni ngumu.
Kwanini Kenan Kihongosi aliyekuwa mkuu wa wilaya Arusha aliruhusu huu uhalifu?
Ina maana Magufuli alimtuma sabaya akafanye ujambazi? Je tukisema Magufuli alikua jambazi tunakosea?Tujiulize kwa kutumia akili za kawaida tu. Mkuu wa wilaya atoke wilaya nyingine alafu aende kufanya uhalifu wilaya nyingine? Hii ni ngumu.
Kwanini Kenan Kihongosi aliyekuwa mkuu wa wilaya Arusha aliruhusu huu uhalifu..,
kama ilikuwa nia ni kukamata uhujumu uchumi wapi Salisema kawakamata hao wenyeduka na akiwa na vielelezo vya uhujumu mfano hela taslimu ambazo hazijulikan zimetokea wapi labda sio za mauzo!? utoto mwingi umempeleka miaka 30 jelaTujiulize kwa kutumia akili za kawaida tu. Mkuu wa wilaya atoke wilaya nyingine alafu aende kufanya uhalifu wilaya nyingine? Hii ni ngumu.
Kwanini Kenan Kihongosi aliyekuwa mkuu wa wilaya Arusha aliruhusu huu uhalifu?..
Mkuu ebu jiongeze kidogo acha kuelemewa na mahaba.Tujiulize kwa kutumia akili za kawaida tu. Mkuu wa wilaya atoke wilaya nyingine alafu aende kufanya uhalifu wilaya nyingine? Hii ni ngumu.
Kwanini Kenan Kihongosi aliyekuwa mkuu wa wilaya Arusha aliruhusu huu uhalifu?
Armed robbery huwa inafanyika vipi? Kwani mtu akifa na ofisi huwa inakufa?Mkuu ebu jiongeze kidogo acha kuelemewa na mahaba.
Tuhumu alizonazo ni jinai. Utetezi wa kuwa nilitumwa haumtoi hapo hasa ukizingatia anayesema alimtuma sasa amerudi mavumbini