Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Sabaya alipokuwa anapora hakujua hilo?Utawala wa sheria.
Hata wanajeshi wa Adolf Hitler ajitetea kwamba hakuwachukia waiziraeli bali aliagizwa na boss wake lakini, sheria ilichukua mkondo wake.Kuna Precedent ,Kutumwa hakukuondolei msala wa kesi ,rejea kesi ya wafanyabiashara wa madini morogoro , mtuhumiwa badeni alikutwa na hatia ya mauaji ila yeye alijitetea kwamba alitumwa na zombe(mkuu wake) ,zombe na yeye akasema hajashika silaha na hajawahi kuua huko msitu wa pande kwahiyo ikala kwa badeni.
Hata kama alitumwa na magufuli ,aliyefanya tukio ni sabaya kwahiyo hakumuondolei msala na hakuna kinga ya kufanya uhalifu maana hakuna aliye juu ya sheria.
Akichomoka achomoke na msajili kukifutia usajili chama kilicho mtuma,chama kijani.Tujiulize kwa kutumia akili za kawaida tu. Mkuu wa wilaya atoke wilaya nyingine alafu aende kufanya uhalifu wilaya nyingine? Hii ni ngumu.
Kwanini Kenan Kihongosi aliyekuwa mkuu wa wilaya Arusha aliruhusu huu uhalifu?
Kwa nini magari ya serikali yalitumika kufanya uharifu?
Kwa nini Sabaya awachukue aliowapora na kuwapekeleka polisi kama wahalifu?
My take: Ofisi ya Dpp imejaa uozo na kukosa weledi. Maana inapoteza rasilimali za umma kushitaki pasipo busara. Kosa la ujambazi liliingia vipi?
Mwenye kesi nani, yeye au Marehemu/ofisi. Kuna justification ya hiyo armed robbery kisheria kuwa nilitumwa, Uliona wapi?!Armed robbery huwa inafanyika vipi? Kwani mtu akifa na ofisi huwa inakufa?
Magufuli alikuwa ni jambazi mwenye genge la majambazi wenzake, aliwavisha madaraka serikalini.Tujiulize kwa kutumia akili za kawaida tu. Mkuu wa wilaya atoke wilaya nyingine alafu aende kufanya uhalifu wilaya nyingine? Hii ni ngumu.
Kwanini Kenan Kihongosi aliyekuwa mkuu wa wilaya Arusha aliruhusu huu uhalifu?
Kwa nini magari ya serikali yalitumika kufanya uharifu?
Kwa nini Sabaya awachukue aliowapora na kuwapekeleka polisi kama wahalifu?
My take: Ofisi ya Dpp imejaa uozo na kukosa weledi. Maana inapoteza rasilimali za umma kushitaki pasipo busara. Kosa la ujambazi liliingia vipi?
Chama Cha MajambaziAkichomoka achomoke na msajili kukifutia usajili chama kilicho mtuma,chama kijani.
Waweza sema pia chama,CHUKUA CHAKO MAPEMAChama Cha Majambazi
MwarubIni wa haya yote ni katiba mpya
Halafu utakuta mjinga mmoja anakuambia eti kiongozi huyo alikuwa ndiye kiongozi bora ukimuuliza sababu zake atakuambia ni kujenga reli mpya, kujenga bwawa la kuzalisha umeme na kununua ndege!Kwa bahati mbaya sana kauli alizotoa Sabaya mahakamani kama utetezi huo ndio ukweli halisi. Kwa bahati mbaya sana kuna visa vingi kama hivi havijaripotiwa wala kuibuliwa iwe na wahusika au waathirika
Hadithi ya kutekwa kwa Mohamed Dewji bado ni fumbo na naamini "MAMLAKA" ya sasa ikimruhusu au ikimtaka aseme ukweli mtupu kwa yale yaliyotokea Watanzania tunaweza kujiuliza kulikua na mtu wa aina gani pale jumba jeupe
Yaliyotokea pale Mawingu Radio katika sakata lililowahusisha Nape, Paul Christian na Ruge na staff wake pengine hatutajua ukweli wote lakini kwa wakati ule ushahidi wa mazingira ulijionyesha wazi nani alikua nyuma ya maagizo yale. Aliyeunda tume ya kuchunguza uhalifu ule akapokonywa wadhiwa wake with immediate effect huku akinusurika kutekwa baada ya jaribio la kufanya hivyo kuonekana public! The culprit aliyetakiwa kuchunguzwa ndio akawa anatamba kwenye vyombo vya habari vya umma huku MAMLAKA yake ya uteuzi ikimpa support
Usia wangu kwa wateule wa "MAMLAKA": OBEY LAWFUL ORDERS FROM LAWFUL AUTHORITY
... Hakutarajia kufa mapema vile! Alidhani angeendelea kutawala miaka mingi ijayo akiwapa kinga ma-agents wake katika uhalifu. Mungu wa Mbinguni atukuzwe kwa matendo yake makuu. Amen.Magufuli alikuwa ni jambazi mwenye genge la majambazi wenzake, aliwavisha madaraka serikalini.
Kosa alilofanya Magufuli,alisahau kumwambia Ndugai atengeneze sheria maalum ya kumkinga Sabaya kwa ujambazi wake anaotumwa na jambazi mkuu
Ha ha ha. SHUJAA WA AFRIKA!Halafu utakuta mjinga mmoja anakuambia eti kiongozi huyo alikuwa ndiye kiongozi bora ukimuuliza sababu zake atakuambia ni kujenga reli mpya, kujenga bwawa la kuzalisha umeme na kununua ndege!
... ni aibu amiri jeshi Mkuu kutuhumiwa sembuse kutajwa mbele ya vyombo vya sheria kushiriki uhalifu! Ile dhana ya Mwl. Ikulu ni mahali patakatifu aliondoka nayo mwenyewe.Chama Cha Majambazi
Unasema hapa umetumia akili ya kawaida? Kwani una akili gani nyingine zaidi ya hii ndogo?Tujiulize kwa kutumia akili za kawaida tu. Mkuu wa wilaya atoke wilaya nyingine alafu aende kufanya uhalifu wilaya nyingine? Hii ni ngumu.
Kwanini Kenan Kihongosi aliyekuwa mkuu wa wilaya Arusha aliruhusu huu uhalifu?
Kwa nini magari ya serikali yalitumika kufanya uharifu?
Kwa nini Sabaya awachukue aliowapora na kuwapekeleka polisi kama wahalifu?
My take: Ofisi ya Dpp imejaa uozo na kukosa weledi. Maana inapoteza rasilimali za umma kushitaki pasipo busara. Kosa la ujambazi liliingia vipi?
Wewe nakujua una chuki na hayati JPM. Jambazi gani atumie gari la serikali na kuwapeleka aliowapora polisi?Magufuli alikuwa ni jambazi mwenye genge la majambazi wenzake, aliwavisha madaraka serikalini.
Kosa alilofanya Magufuli,alisahau kumwambia Ndugai atengeneze sheria maalum ya kumkinga Sabaya kwa ujambazi wake anaotumwa na jambazi mkuu
... Pengine asingefanya hivyo. Hoja ya msingi ni KUTUMWA NA RAIS kufanya uhalifu hata kama asingetekeleza.kwa hiyo angetumwa na mamlaka akawaue baba yake, mama yake, dada na kaka zake nako angeenda kufanya kama alivyoagizwa na mamlaka???