Mtaalam
JF-Expert Member
- Oct 1, 2007
- 1,371
- 251
dooohUnasema hapa umetumia akili ya kawaida? Kwani una akili gani nyingine zaidi ya hii ndogo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dooohUnasema hapa umetumia akili ya kawaida? Kwani una akili gani nyingine zaidi ya hii ndogo?
Acha upuuzi. JPM alitoa amri ya kudhibiti uhujumu uchumi sio kufanya uporaji pesa.... ni aibu amiri jeshi Mkuu kutuhumiwa sembuse kutajwa mbele ya vyombo vya sheria kushiriki uhalifu! Ila dhana ya Mel. Ikulu ni mahali patakatifu aliondoka nayo mwenyewe.
exactly na hicho ndicho kitamtia matatani..... Pengine asingefanya hivyo. Hoja ya msingi ni KUTUMWA NA RAIS kufanya uhalifu hata kama asingetekeleza.
... unamaanisha ofisi ya taasisi ya urais ikapekuliwe kutafuta au kulinganisha ushahidi atakaotoa Sabaya na kilichomo kwenye mafaili Ikulu ama? Mechi ngumu hii.Kama alituma na Rais, lazima kuwe na kumbukumbu somewhere maana ile ni Taasisi
Kama alitumwa na raia mmoja kutokea Chato, then huo utetezi hauna mashiko mahakamani na ofisi ya Rais itamruka tu
Whether armed robbery happened?exactly na hicho ndicho kitamtia matatani..
ina maana ana uwezo wa kufikiria na kutumia akili zake.. kufanya mema au mabaya... na huo uwezo wake binafsi wa kuchambua ndio utaomfunga
kutumwa kwenda fuatilia A na B Arusha hakuna maana kafanye uharifu na ujambazi Arusha.... au kampige Diwani ambaye alikua mbaya wako ambaye itathibitishwa na polisi, hospitali hadi mashahidi 11 alafu wewe uje tu useme simply huyu ana chuki binafsi nami...
Wewe ndiye uliye pewa hiyo order? Aliye pewa order kesha sema aliyo yafanya alitumwa na magufuli sasa wewe karubandika huku mtandaoni na wewe una tuletea porojo zako.Acha upuuzi. JPM alitoa amri ya kudhibiti uhujumu uchumi sio kufanya uporaji pesa.
Hakuna rejea hapo weweHili Shauri ni nyeti na maalumu tuiachie Mahakama ifanye maamuzi huru Bila maelekezo na mashinikizo, litakuwa rejea katika masomo ya sheria na utawala.
Naam. Na Rais wa sasa alikuwa Makamu wa Rais. So, na yeye kama vipi aitwe kama shahidi #7... unamaanisha ofisi ya taasisi ya urais ikapekuliwe kutafuta au kulinganisha ushahidi atakaotoa Sabaya na kilichomo kwenye mafaili Ikulu ama? Mechi ngumu hii.
KweliKuna Precedent ,Kutumwa hakukuondolei msala wa kesi ,rejea kesi ya wafanyabiashara wa madini morogoro , mtuhumiwa badeni alikutwa na hatia ya mauaji ila yeye alijitetea kwamba alitumwa na zombe(mkuu wake) ,zombe na yeye akasema hajashika silaha na hajawahi kuua huko msitu wa pande kwahiyo ikala kwa badeni.
Hata kama alitumwa na magufuli ,aliyefanya tukio ni sabaya kwahiyo hakumuondolei msala na hakuna kinga ya kufanya uhalifu maana hakuna aliye juu ya sheria.
Tujiulize kwa kutumia akili za kawaida tu. Mkuu wa wilaya atoke wilaya nyingine alafu aende kufanya uhalifu wilaya nyingine? Hii ni ngumu.
Kwanini Kenan Kihongosi aliyekuwa mkuu wa wilaya Arusha aliruhusu huu uhalifu?
Kwa nini magari ya serikali yalitumika kufanya uharifu?
Kwa nini Sabaya awachukue aliowapora na kuwapekeleka polisi kama wahalifu?
My take: Ofisi ya Dpp imejaa uozo na kukosa weledi. Maana inapoteza rasilimali za umma kushitaki pasipo busara. Kosa la ujambazi liliingia vipi?
ukiwepo ndio aachiwe?Ndio maana siku zote anafuraha tu. Kwa hiyo kati ya wakuu wote wa Wilaya ni yeye tu alitumwa. Ushahidi wa kutumwa upo?