Bhujegwe
Senior Member
- Nov 23, 2013
- 135
- 191
Justification ya kuwa ni gari la serikali ni plate number pekee na ambayo ni kibao tu kinachoweza kutolewa na kikawekwa kingine na gari husika ikasomeka tofauti. So mtu mwenye nia ovu anabadilisha tu,sidhan inaweza kumbeba kwa lolote. Lenye kufikirisha hapo ni issue ya kutekeleza jambo kinyume cha sheria lkn mwishoni anavihusisha vyombo vya kisheria km jeshi la polis.Wewe nakujua una chuki na hayati JPM. Jambazi gani atumie gari la serikali na kuwapeleka aliowapora polisi?
Kwan case ni yeye kufanya ujambaz,how comes aliwapeleka polis na polis wakarespond positively...anyway ndiyo maana watu wameaminiwa kuwa majaji na mahakimu,tuvute subira na tuwe na imani kuwa haki itatendeka na kuonekana imetendeka!