Magu alikuwa kiongozi muovu na wengi hilo wanalijua. Anachofanya Sabaya ni kupigia mstari jibu kwa kile kinachofahamika. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule mtu muovu bila damu kumwagika.
Hahahaha hamuwezi kuwadanganya watanzania kirahisi hivyo. ..Magu alikuwa kiongozi aliyefanya haya apa.
wa mwaka
6)ameweza kuondoa watumishi hewa zaidi ya 50000..watumishi
7)ameweza kubaini vyeti feki zaidi ya 30000 watumishi
8) amejenga mabarabara lukuki ma flyovers kupanua barabara nyingi kwa mbinu zake mfano Morocco mwenge
9)ameweza kuleta nidhamu ya Hali ya juu katika utumishi WA Uma.
10)amepambana na mafisadi na wakwepa kodi na walinyooka. .Hao Sasa waliishi kama mashetani tu. Na wanyonge SAS waliishi kama malaika peponi
11)upande WA madini Ndio usiseme. .Tanzanite ukuta ukajengwa Mere rani
12)Gold na mengineyo mikataba ikafungwa na kutngenezwa upya kwa faida ya wote. .win win situation
13)mabepari wale WA madini walinywea na ku bow down kwa JPM
14) elimu Bure primary to secondary
15)hivi ni wapi hakugusa. ..taja mengine meeeengi mnayajua aliyofanya monster huyu mzalendo. .na alikuwa akisaidiwa na mama Samia. .laolilikuwa Moja. So msimchukulie poa mama oooooh. ...
Wakati mnaongea tafadhali muwe mnatukumbusha na mazuri haya ambayo ameyafanya. .na nikwambie watanzania walimkubali asilimia 95...na itikadi yake JPM tayari ipo katika mioyo ya watanzania wote karibu. .na wanamkumbuka sana...kuifuta hiyo sio leo jomba. Na wewe huwajui watanzania vizuri. ..nenda
China
dini Ndio usiseme. .Tanzanite ukuta ukajengwa Mere rani
12)Gold na mengineyo mikataba ikafungwa na kutngenezwa upya kwa faida ya wote. .win win situation
13)mabepari wale WA madini walinywea na ku bow down kwa JPM
14) elimu Bure primary to secondary
15)hivi ni wapi hakugusa. ..taja mengine meeeengi mnayajua aliyofanya monster huyu mzalendo. .na alikuwa akisaidiwa na mama Samia. .laolilikuwa Moja. So msimchukulie poa mama oooooh. ...
Wakati mnaongea tafadhali muwe mnatukumbusha na mazuri haya ambayo ameyafanya. .na nikwambie watanzania walimkubali asilimia 95...na itikadi yake JPM tayari ipo katika mioyo ya watanzania wote karibu. .na wanamkumbuka sana...kuifuta hiyo sio leo jomba. Na wewe huwajui watanzania vizuri. ..nenda kule