Tayari Sabaya amechomoka, kama alipewa maagizo toka juu ujambazi anahusika vipi?

Ina maana magufuli alimtuma sabaya akafanye ujambazi? Je tukisema magufuli alikua jambazi tunakosea?
Ujambazi? Ujambazi huwa unafanyika namna hiyo? Kwa kukamata mliowapora na kuwapeleka polisi?
 
Hiyo ya kusema nimetumwa hua haisaidii.

Ukiona umefikishwa mahakamani na kesi imeanza kusikilizwa ni salama zaidi kuamini waliokufikisha hapo wameangalia kila upande utakaojaribu kuchomokea.

Musiba anatakiwa kuwalipa fidia watu wawili mpaka muda huu unadhani akijitetea kwamba alitumwa itabatilisha hukumu?
 
Hata wanajeshi wa Adolf Hitler ajitetea kwamba hakuwachukia waiziraeli bali aliagizwa na boss wake lakini, sheria ilichukua mkondo wake.

Kwasababu Sabaya ni binadamu mwenye utashi siyo robot wala mnyama ambao yamkini hawawezi kuchakata mambo kiufanisi bila binadamu kuwaagiza kwa manufaa yake.
 
Akichomoka achomoke na msajili kukifutia usajili chama kilicho mtuma,chama kijani.
 
Magufuli alikuwa ni jambazi mwenye genge la majambazi wenzake, aliwavisha madaraka serikalini.

Kosa alilofanya Magufuli,alisahau kumwambia Ndugai atengeneze sheria maalum ya kumkinga Sabaya kwa ujambazi wake anaotumwa na jambazi mkuu
 
Halafu utakuta mjinga mmoja anakuambia eti kiongozi huyo alikuwa ndiye kiongozi bora ukimuuliza sababu zake atakuambia ni kujenga reli mpya, kujenga bwawa la kuzalisha umeme na kununua ndege!
 
... Hakutarajia kufa mapema vile! Alidhani angeendelea kutawala miaka mingi ijayo akiwapa kinga ma-agents wake katika uhalifu. Mungu wa Mbinguni atukuzwe kwa matendo yake makuu. Amen.
 
Halafu utakuta mjinga mmoja anakuambia eti kiongozi huyo alikuwa ndiye kiongozi bora ukimuuliza sababu zake atakuambia ni kujenga reli mpya, kujenga bwawa la kuzalisha umeme na kununua ndege!
Ha ha ha. SHUJAA WA AFRIKA!
 
kwa hiyo angetumwa na mamlaka akawaue baba yake, mama yake, dada na kaka zake nako angeenda kufanya kama alivyoagizwa na mamlaka???
 
Chama Cha Majambazi
... ni aibu amiri jeshi Mkuu kutuhumiwa sembuse kutajwa mbele ya vyombo vya sheria kushiriki uhalifu! Ile dhana ya Mwl. Ikulu ni mahali patakatifu aliondoka nayo mwenyewe.
 
Unasema hapa umetumia akili ya kawaida? Kwani una akili gani nyingine zaidi ya hii ndogo?
 
Magufuli alikuwa ni jambazi mwenye genge la majambazi wenzake, aliwavisha madaraka serikalini.

Kosa alilofanya Magufuli,alisahau kumwambia Ndugai atengeneze sheria maalum ya kumkinga Sabaya kwa ujambazi wake anaotumwa na jambazi mkuu
Wewe nakujua una chuki na hayati JPM. Jambazi gani atumie gari la serikali na kuwapeleka aliowapora polisi?
 
kwa hiyo angetumwa na mamlaka akawaue baba yake, mama yake, dada na kaka zake nako angeenda kufanya kama alivyoagizwa na mamlaka???
... Pengine asingefanya hivyo. Hoja ya msingi ni KUTUMWA NA RAIS kufanya uhalifu hata kama asingetekeleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…