Goli la Namungo shida yake ninRefa ana assist,Simba ndio timu inayo ongoza kwa assist za marefa, Goli la namungo refa hajafunga yeye ila Refa msaidizi/Mshika kibendera katoka assist kwa mfungaji. Nikama Jonesia Rukyaa alipotoa assist kwa kagere afunge kwa njia ya penati dhidi ya Yanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mikia ni watu wa ajabu duniani.. nakumbuka mechi ya Yanga na TP Mazembe ..Yusuf Manji akanunua tickets zote watu waingie bure..mara paap mikia wamejaza uwanja saa nne asubuhi ili wazomee Yanga..Nyie mlivyokuwa mnapata ubingwa enzi za Malinzi mlifanya maajabu gani kwenye mashindano ya CAF?
Sisi tumefika robo fainali, Taifa stars imeenda AFCON, Taifa stars imeenda CHAN, Twiga stars wamebeba ubingwa wa CECAFA na kufika fainali mara kadhaa.
Watoto wale wa ngorongoro nadhani u17 wamekwenda AFCON ya u17
Mbona tumefungwa na kmc hatukuongea tuna jua karia na genge lake hawaitakii mema yanga
kilicho akilini kitumie
Mikia ni watu wa ajabu duniani.. nakumbuka mechi ya Yanga na TP Mazembe ..Yusuf Manji akanunua tickets zote watu waingie bure..mara paap mikia wamejaza uwanja saa nne asubuhi ili wazomee Yanga..
Nauza yanga mbovu na dola chakavumalalamiko fc.
avr fc.
vyura fc.
gongo wazi fc.
utopolo fc.
bakuli fc.
wachawi fc.
kandambili fc.
mafuriko fc.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili swali hata mtoto wako hawezi kuuliza, ukikua acha maswali ya kitoto.Refa ndiye aliyefunga goli la Namungo mdau wa soka?
Haya mavyura hovyo sanaNyie mlivyokuwa mnapata ubingwa enzi za Malinzi mlifanya maajabu gani kwenye mashindano ya CAF?
Sisi tumefika robo fainali, Taifa stars imeenda AFCON, Taifa stars imeenda CHAN, Twiga stars wamebeba ubingwa wa CECAFA na kufika fainali mara kadhaa.
Watoto wale wa ngorongoro nadhani u17 wamekwenda AFCON ya u17
Mabonde kuinama fcmalalamiko fc.
avr fc.
vyura fc.
gongo wazi fc.
utopolo fc.
bakuli fc.
wachawi fc.
kandambili fc.
mafuriko fc.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zilizo wafikisha pale ni pesa za MO, Mechi ya Zesco Dar, Mechi na Js Soura Dar , izo ni mechi ambazo wapenzi mlifurahi na kukenua meno ila MO zilimtia hasara kubwa kwa kuhonga Marefa.Nyie mlivyokuwa mnapata ubingwa enzi za Malinzi mlifanya maajabu gani kwenye mashindano ya CAF?
Sisi tumefika robo fainali, Taifa stars imeenda AFCON, Taifa stars imeenda CHAN, Twiga stars wamebeba ubingwa wa CECAFA na kufika fainali mara kadhaa.
Watoto wale wa ngorongoro nadhani u17 wamekwenda AFCON ya u17
Mpo nafasi ya ngapi mcompete kuchukua ubingwa?Mbona tumefungwa na kmc hatukuongea tuna jua karia na genge lake hawaitakii mema yanga
kilicho akilini kitumie
Leo nimeamini nyie kweli Wanga fc kwa sababu muna husda na chuki zisizo na maana.Zilizo wafikisha pale ni pesa za MO, Mechi ya Zesco Dar, Mechi na Js Soura Dar , izo ni mechi ambazo wapenzi mlifurahi na kukenua meno ila MO zilimtia hasara kubwa kwa kuhonga Marefa.
Kwaujumla MO michuano ya vilabu Afrika imemtia hasara kwenye baadhi ya mechi ndio maana kunakipindi anatamani kususa ila RC ame mbananisha hafurukuti, Matokeo yake kutoka kuwa tajiri namba mmoja kijana saaizi anasomeka namba 16 na bado safari ya kupotea inaendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zilizo wafikisha pale ni pesa za MO, Mechi ya Zesco Dar, Mechi na Js Soura Dar , izo ni mechi ambazo wapenzi mlifurahi na kukenua meno ila MO zilimtia hasara kubwa kwa kuhonga Marefa.
Kwaujumla MO michuano ya vilabu Afrika imemtia hasara kwenye baadhi ya mechi ndio maana kunakipindi anatamani kususa ila RC ame mbananisha hafurukuti, Matokeo yake kutoka kuwa tajiri namba mmoja kijana saaizi anasomeka namba 16 na bado safari ya kupotea inaendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga mbovu wakati umeukaliaNauza yanga mbovu na dola chakavu
Nauza yanga mbovu na dola chakavu
Nauza yanga mbovu na dola chakavu
Nauza yanga mbovu na dola chakavu
Nauza yanga mbovu na dola chakavu
Nauza yanga mbovu na dola chakavu
Jr[emoji769]
malalamiko fc.
avr fc.
vyura fc.
gongo wazi fc.
utopolo fc.
bakuli fc.
wachawi fc.
kandambili fc.
mafuriko fc.
Sent using Jamii Forums mobile app
I don't discuss habari za vijiweni buddy, unaweza kuthibitisha Mo aliwalipa kiasi gani hawa waamuzi wazuie hizo timu kufunga magoli na wafunge wao magoli Simba ishinde?Zilizo wafikisha pale ni pesa za MO, Mechi ya Zesco Dar, Mechi na Js Soura Dar , izo ni mechi ambazo wapenzi mlifurahi na kukenua meno ila MO zilimtia hasara kubwa kwa kuhonga Marefa.
Kwaujumla MO michuano ya vilabu Afrika imemtia hasara kwenye baadhi ya mechi ndio maana kunakipindi anatamani kususa ila RC ame mbananisha hafurukuti, Matokeo yake kutoka kuwa tajiri namba mmoja kijana saaizi anasomeka namba 16 na bado safari ya kupotea inaendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mikia wengi wanasema Machi 8 yanga ilishinda kwa uchawi....tehtehteh...dah...Tarehe 8 mlivyoshinda yote hatukuyasikia haya, ila leo mmedroo mnalia lia gongowazi mna nini lkn!!
Habari za vijiweni ni zipi na zile ambazo siyo za vijiweni zikoje?I don't discuss habari za vijiweni buddy, unaweza kuthibitisha Mo aliwalipa kiasi gani hawa waamuzi wazuie hizo timu kufunga magoli na wafunge wao magoli Simba ishinde?