Tayari wachambuzi wa Clouds wanadai lile goli la Yanga ni halali

Nyie mlivyokuwa mnapata ubingwa enzi za Malinzi mlifanya maajabu gani kwenye mashindano ya CAF?

Sisi tumefika robo fainali, Taifa stars imeenda AFCON, Taifa stars imeenda CHAN, Twiga stars wamebeba ubingwa wa CECAFA na kufika fainali mara kadhaa.
Watoto wale wa ngorongoro nadhani u17 wamekwenda AFCON ya u17
Mikia ni watu wa ajabu duniani.. nakumbuka mechi ya Yanga na TP Mazembe ..Yusuf Manji akanunua tickets zote watu waingie bure..mara paap mikia wamejaza uwanja saa nne asubuhi ili wazomee Yanga..
 
Hahaha!

Watu na mpira wao,yanga wengi wapenzi wa taarabu huku mpirani wanatafuta umbea tu wa kwenda kuimba kwenye vyombo vya habari
Mikia ni watu wa ajabu duniani.. nakumbuka mechi ya Yanga na TP Mazembe ..Yusuf Manji akanunua tickets zote watu waingie bure..mara paap mikia wamejaza uwanja saa nne asubuhi ili wazomee Yanga..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
malalamiko fc.
avr fc.
vyura fc.
gongo wazi fc.
utopolo fc.
bakuli fc.
wachawi fc.
kandambili fc.
mafuriko fc.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nauza yanga mbovu na dola chakavu
Nauza yanga mbovu na dola chakavu
Nauza yanga mbovu na dola chakavu
Nauza yanga mbovu na dola chakavu
Nauza yanga mbovu na dola chakavu
Nauza yanga mbovu na dola chakavu

Jr[emoji769]
 
Nyie mlivyokuwa mnapata ubingwa enzi za Malinzi mlifanya maajabu gani kwenye mashindano ya CAF?

Sisi tumefika robo fainali, Taifa stars imeenda AFCON, Taifa stars imeenda CHAN, Twiga stars wamebeba ubingwa wa CECAFA na kufika fainali mara kadhaa.
Watoto wale wa ngorongoro nadhani u17 wamekwenda AFCON ya u17
Haya mavyura hovyo sana

Zilizo wafikisha pale ni pesa za MO, Mechi ya Zesco Dar, Mechi na Js Soura Dar , izo ni mechi ambazo wapenzi mlifurahi na kukenua meno ila MO zilimtia hasara kubwa kwa kuhonga Marefa.
Kwaujumla MO michuano ya vilabu Afrika imemtia hasara kwenye baadhi ya mechi ndio maana kunakipindi anatamani kususa ila RC ame mbananisha hafurukuti, Matokeo yake kutoka kuwa tajiri namba mmoja kijana saaizi anasomeka namba 16 na bado safari ya kupotea inaendelea.

Leo nimeamini nyie kweli Wanga fc kwa sababu muna husda na chuki zisizo na maana.
Leta hiyo website iliyomuorodhesha Mo Dewji kuwa tajiri namba 16 kwa vijana Africa.
Yeye bado ni tajiri namba 1Africa kwa vijana na vilevile ni tajiri wa 16 Africa kwa wezee, watoto, vijana Nk.
 
Zesco walicheza na simba mwaka gani?
Al Ahly na Vita pia walihonga.?? [emoji1]
Kwa akili hizi hatufiki popote
Zilizo wafikisha pale ni pesa za MO, Mechi ya Zesco Dar, Mechi na Js Soura Dar , izo ni mechi ambazo wapenzi mlifurahi na kukenua meno ila MO zilimtia hasara kubwa kwa kuhonga Marefa.
Kwaujumla MO michuano ya vilabu Afrika imemtia hasara kwenye baadhi ya mechi ndio maana kunakipindi anatamani kususa ila RC ame mbananisha hafurukuti, Matokeo yake kutoka kuwa tajiri namba mmoja kijana saaizi anasomeka namba 16 na bado safari ya kupotea inaendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauza yanga mbovu na dola chakavu
Nauza yanga mbovu na dola chakavu
Nauza yanga mbovu na dola chakavu
Nauza yanga mbovu na dola chakavu
Nauza yanga mbovu na dola chakavu
Nauza yanga mbovu na dola chakavu

Jr[emoji769]
Yanga mbovu wakati umeukalia
 
Zilizo wafikisha pale ni pesa za MO, Mechi ya Zesco Dar, Mechi na Js Soura Dar , izo ni mechi ambazo wapenzi mlifurahi na kukenua meno ila MO zilimtia hasara kubwa kwa kuhonga Marefa.
Kwaujumla MO michuano ya vilabu Afrika imemtia hasara kwenye baadhi ya mechi ndio maana kunakipindi anatamani kususa ila RC ame mbananisha hafurukuti, Matokeo yake kutoka kuwa tajiri namba mmoja kijana saaizi anasomeka namba 16 na bado safari ya kupotea inaendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
I don't discuss habari za vijiweni buddy, unaweza kuthibitisha Mo aliwalipa kiasi gani hawa waamuzi wazuie hizo timu kufunga magoli na wafunge wao magoli Simba ishinde?
 
Tarehe 8 mlivyoshinda yote hatukuyasikia haya, ila leo mmedroo mnalia lia gongowazi mna nini lkn!!
Mikia wengi wanasema Machi 8 yanga ilishinda kwa uchawi....tehtehteh...dah...
 
I don't discuss habari za vijiweni buddy, unaweza kuthibitisha Mo aliwalipa kiasi gani hawa waamuzi wazuie hizo timu kufunga magoli na wafunge wao magoli Simba ishinde?
Habari za vijiweni ni zipi na zile ambazo siyo za vijiweni zikoje?
 
Back
Top Bottom