Tayari wachambuzi wa Clouds wanadai lile goli la Yanga ni halali

Misukule FC inatoa mapovu.
Mwaka huu ligi nzima itafutwa. Corona business imeingia.
Tukutane msimu ujao bila magumashi.
 
Habari za vijiweni ni zipi na zile ambazo siyo za vijiweni zikoje?
"Mo alitumia hela nyingi kwa waamuzi wa zile mechi na zimemtia hasara"
Hizi ni habari za kwenye Gahawa na watu wasioujua mpira
 
Heading na content vimenichanganya ila ngoja nikujibu heading na nilichosikia clouds, clouds wamesema kwa picha walizoziona wao aziwawezeshi kujua kama ni off or on side kutokana na angle aliyokaa mpiga picha.
 
Tarehe 8 Simba wasingeweza kufunga goli mbele ya majini yaliyovaa sura za wachezaji wa Yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka ushahidi, kama huna better shut it up.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The world was good and healthy for thirty years until Liverpool decided they want to win the EPL...πŸ˜πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Ubingwa wa dhuruma wa Simba Sc hadi Mungu kakasirika na kuruhusu Corona itutese. Mwenyezi Mungu hapendi dhuruma aiseee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…