mzigo_van_lee_molla
Member
- Nov 14, 2013
- 9
- 8
Hilo jina limejitokeza mara 196...angalia vizuri hapo juu kwa search.
kama haujachaguliwa kwaajili ya GPA yako ndogo tulia kabisa, usimgomanishe raisi wetu na wananchi, tena muache kabisa raisi wetu afanye majukumu makubwa ya kuijenga tanzaniaMh raisi alitumia nguvu kubwa sana kutumbua wafanyakazi hewa
Lakini cha kushangaza tamisemi wanakosa weredi kabisa kwa kuendelea kuajiri watu hewa, ambao hawana vigezo,sijui wanafanya maksudi au ndio utendaji wao kazi
Mh raisi wanakuaibisha sana hawa tamisemi, wanaajiri watu hewa, majina ya kihuni yamejaa humo
Mh raisi ingilia hili swala, pitia majina ujionee mwenyewe, nenda kule tamisemi tumbua wote wanaofanya huo uhuni, futa majina yote
Ni aibu kubwa sana, serikali inatoa ajira kihuni namna hii
Uzi tayar
YahwWewe umesikia wap
Haiwezekan watoto wameomaliza form four 2019 wanaajiriwa, wamesoma chuo liniMbona zipo fresh tu...... Au mpaka uajiriwe wewe ndio ziwe sawa?
Akili yako inafanana na uandishi wako.Uzushi m2pu
Huyo alikua 'T. O' tunataka akawape wanafunzi mbinu alizotumia ili nao wafauluHaiwezekan watoto wameomaliza form four 2019 wanaajiriwa, wamesoma chuo lini
Majina yanawalakini mkubwa sana