Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Mwaka huu 2020 madudu yote yanajidhihirisha
Nalog off
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umehakikisha vipi kuwa hawana vigezo?Mh raisi alitumia nguvu kubwa sana kutumbua wafanyakazi hewa
Lakini cha kushangaza tamisemi wanakosa weredi kabisa kwa kuendelea kuajiri watu hewa, ambao hawana vigezo,sijui wanafanya maksudi au ndio utendaji wao kazi
Mh raisi wanakuaibisha sana hawa tamisemi, wanaajiri watu hewa, majina ya kihuni yamejaa humo
Mh raisi ingilia hili swala, pitia majina ujionee mwenyewe, nenda kule tamisemi tumbua wote wanaofanya huo uhuni, futa majina yote
Ni aibu kubwa sana, serikali inatoa ajira kihuni namna hii
Uzi tayar
Hao ni baadhi tu mkuu ila wapo wengi sanaa.. ni udanganyifu uliokithiriView attachment 1636642View attachment 1636643View attachment 1636644View attachment 1636645View attachment 1636646View attachment 1636647View attachment 1636648View attachment 1636649Anaitwa nani na kapangwa shule gani huyo aliyemaliza form 4, 2019.
Unamaanisha nini mkuuUsikalili mkuu unazani watu wanaosomaga uku wakiwa usalama wa Taifa huwa hawana mishe
Hapa kuna shida kubwa huwezi kumaliza form 4, 2018 na 2020 ukaajiriwa kama mwalimu wa sekondari labda Crash programHao ni baadhi tu mkuu ila wapo wengi sanaa.. ni udanganyifu uliokithiriView attachment 1636642View attachment 1636643View attachment 1636644View attachment 1636645View attachment 1636646View attachment 1636647View attachment 1636648View attachment 1636649View attachment 1636650
Hahahhaha wewe ndo yule jamaa uliyeajiriwa kila sehemu. Maana wakitaja Benki upo, TRA upo, Bandarini upo Sasa na kwenye ualimu upo n.kAcha kuichafua serikali wewe, serikali haiwezi kufanya huo ujinga kama umekosa kwasababu una GPA ndogo acha tuliochaguliwa tukaanze kazi jumanne (1.12.2020)
Inawezekana alikua anafundisha private schools akaona aombe ajira serikaliniAli Maulid Mtawatawa-1997
Beatrice Apolinary Lyimo -1999
Charles Nyagaya John -1995
Miaka 20+ iliyopita alikuwa wapi hadi mwaka huu ndio waajiriwe?
Mbona hutaji majina yanayojirudia ili kuthibitisha madai yako, ili ueleweke? Au toa kasoro unazoziona ili tufahamu.Hapana sio GPA wala nini....kama haya majina nayoyaona mitandaoni yametoka kwa viongozi wa umma tena wa taasisi nyeti basi tunasafari ndefu...
Na Rais asipoliangalia hili nitakuwa na mashaka na anayokuwa anahubiri kila siku.
Penye ukweli tuseme....nimeona jina la mtu kurudiwa zaidi ya mara 100.
Eti upate kiongozi kama huyu.Mbona hutaji majina yanayojirudia ili kuthibitisha madai yako, ili ueleweke? Au toa kasoro unazoziona ili tufahamu.
Tanzania sasa hivi kila kitu ni fojari.