Tazama baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza katika majina ya ajira za Ualimu yaliyotolewa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE lajirudia mara 196

umehakikisha vipi kuwa hawana vigezo?
 
Taifa lisha poteza muelekeo hili kila kukicha afadhari ya jana
 
Anaitwa nani na kapangwa shule gani huyo aliyemaliza form 4, 2019.
 
Pitia orodha, jina LA kwanza Ni lile mwanzo mwisho!
 
Acha kuichafua serikali wewe, serikali haiwezi kufanya huo ujinga kama umekosa kwasababu una GPA ndogo acha tuliochaguliwa tukaanze kazi jumanne (1.12.2020)
Hahahhaha wewe ndo yule jamaa uliyeajiriwa kila sehemu. Maana wakitaja Benki upo, TRA upo, Bandarini upo Sasa na kwenye ualimu upo n.k
 
Ali Maulid Mtawatawa-1997

Beatrice Apolinary Lyimo -1999

Charles Nyagaya John -1995

Miaka 20+ iliyopita alikuwa wapi hadi mwaka huu ndio waajiriwe?
Inawezekana alikua anafundisha private schools akaona aombe ajira serikalini
 
Mbona hutaji majina yanayojirudia ili kuthibitisha madai yako, ili ueleweke? Au toa kasoro unazoziona ili tufahamu.
 
Wamezoeya wizi,ujambazi na kughushi ona sasa wanavyo jichanganya
 
Wakuu Kuna udanganyifu mwingi Sana kwenye hizi ajira watu wa Tamisemi wamefanya uhuni mkubwa Sana Kuna majina hewa na namba fake nyingi Sana mpaka unajiuliza Kuna nn,Tamisemi ichunguzwe huu ni upumbavu zama za Teknolojia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…