Kusema ukweli hizi ajira ni MAGUMASHI, hazina uhalisia wowote. Jina moja linajirudia mara nyngi na kituo ni kilekile.
Kuna wengine wamemaliza fom4 mwaka 2019 eti na wao wameajiriwa.
Swali: Kwanini hawajaandika vyuo walivyosomea? Kwanini hawajaweka serial number?
MUNGU TUNUSURU
"Everything happen for a reason" nilivoona hakuna serial number nilijiuliza sana(kwamba excel ya hao jamaa ilishindwa kabisa kuweka number jibu ni hapana haikushindwa then why?). Nikajipa kaz ya kuhesabu idadi kwa baadhi ya pages,wastani kila page ni kama watu 40,document ina page 196
40x196=7840( kumbuka kwenye kila page kuna jina moja limerudiwa ,haya twende,nacheka lakini naogopa)
7840-195(hizi ni nafasi hewa ambazo hazina watu ,mathematically)=7645
Ajira zilitangazwa 13,000(kama kumbukumbu zangu ziko sawa)
13000-7645=5355( sio mbaya eti hahaha)
5355 ,ni watu idadi kubwa(mathematically),,ila politically sio mbaya sana,,,,
Pengine wakuu kuna second batch (who knows).
Brothers and sisters outthere na wahusika wote wa kada husika waliopatana nafasi kongole kwao ,waliokosa msikate tamaa kesho yenu ipo hata kama sio kupitia taaluma zenu basi itapatikana kwa namna nyingine ,msichoke kupambana ndani na nje ya mfumo.asante