ashery one
Member
- May 26, 2020
- 15
- 14
Ukiresit inakua p na sio smbona unadanganya watu broo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiresit inakua p na sio smbona unadanganya watu broo
Hapo kinachoongelewa sio Jina... Ni mwaka aliomaliza 2019Kakuambia NI YEYE.
Hayo majina hufanana na ndiyo maana tukiwa shuleni sekondaei mkuu wetu wa shule alilazimisha jina moja lazima liwe la KIBANTU kujitofautisha na wengine
Mkuu uki resit index namba haibadiliki hata kidogo inabaki ileile kwa sababu hupewi index mpya ila matokeo ndo yatakayobadikika tu.
Ngoja wajeBado najiuliza ni rushwa ,kujuana au maagizo.
Katika ajira zilizotoka jana za ualimu limetokea jina la Bint Halima Saidi Mohamed na amepangiwa kituo cha kazi mkoa wa Lindi wilaya ya Kilwa katika shule ya msingi Nandembo...
Hujaelewa kituIndex number huwa wanachukua ya form 4 jomba. Mleta mada ana hoja ya msingi!
Tumeomba Takukuru ipelekewa majina yote yaliyopitishwa kuajiriwa kabla hawajaripoti kwenye vituo vya kazi. Tanzania Kuna watu wanatumia fursaya mfumo kupiga deal au kuiba.kuna ufisadi mkubwa Sana Tamisemi hasa kupitia ajira za wasalimu wapya 2020.
Na inasemekana huyo Abdallah wa page 196 amemaliza form four 2019 na alipata DIV 1V-31.
Kwanzia baba mpaka watoto wote wadanganyifu. Hamna pakukimbilia Ni kuwa wapolee tuu. Ukihoji Sana utaambiwa umetumwa na mabeberu.
Sijui huyo jamaa naye anajielewa kweli? Eti alikuwa anaresit huku anaendelea na ualimu, sasa kama alikuwa tayari ni mwalimu huku wenye ajira mpya anatafuta nini?Mkuu uki resit index namba haibadiliki hata kidogo inabaki ileile kwa sababu hupewi index mpya ila matokeo ndo yatakayobadikika tu.
Wewe ndiye umejikoroga mkuu! Kwamba alikuwa anaresit huku anaendelee na ualimu?Hujaelewa kitu
Siyo kuendelea na ualimu, but chuo!!!Sijui huyo jamaa naye anajielewa kweli? Eti alikuwa anaresit huku anaendelea na ualimu, sasa kama alikuwa tayari ni mwalimu huku wenye ajira mpya anatafuta nini?
Na chuooooooooo!!!!Wewe ndiye umejikoroga mkuu! Kwamba alikuwa anaresit huku anaendelee na ualimu?
Conection sizungumziii barua nazungumzia watu na watu wao! Hzo barua gersha ndugu!Hakuna cha connection wala upendeleo; kwa mfano, nimekuwa najitolea shule moja hapa Dar tangu 2019 july, na majina yetu yalichukuliwa na taarifa zetu, lakini mpka sasa hivi ni 0-0 broo (sjui sister)
Komaaa tuu; paychek can be seld-made... [emoji851][emoji851][emoji41]
Acha ujinga wewe sijui umesoma wapi wewe ? Yani umeshindwa hata kuelewa hapo juu. Ccm tawala milele.Anarudia mtihani wa form four wa nini kama alishafika chuo na akasomea ualimu? How can people be this foolish hata kuchambua vitu virahisi? So kasomaje chuo hadi aje aresit saivi smh