Tazama Bombardier Q400 mbili za JAMBOJET Kenya nchini canada zikishukwa!!!!

Kaka ningekuomba ujielimishe kwanza kabla ya kuchangia inaonekana huna taarifa kabisa na dunia ya leo. Ethiopian inapata watalii wengi kupita Kenya and Tanzania combined, mwaka juzi 2016, Ethiopia ilipata $3.5B, wakati Tanzanian ilipata $2.1B na Kenya $700M.

Watalii ni watu kama kundi la watu wengine wowote wale duniani, kuna matajiri sana ambao wanatumia private charters, lakini 80% ya watalii wote duniani hutumia passenger flights, kama umeshawahi kusafiri na ndege kubwa toka nje ya nchi zikifika KIA watalii wengi hushuka na mnakuja Dar ndege ikiwa tupu.

Hayo mengine ya watalii kutoka marekani ni matajiri zaidi ya Europe ndiyo sababu tunapata watalii wengi, ninaelewa unachotaka kukisema, lakini unajichanganya. Tulia usipaparike jipange ujiweke sawa uje kivyengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hata Ethiopia tourism is not that advanced most tourists come from conferences as a result of AU n UNECA. They probably count PAX on transit as local tourists.
 
Sisi hizi tayari tunazo. Sasa tunaongelea DreamLiners.
Kwa mtazamo unaojengeka Tanzania, unaingia kwenye mtazamo wa mwanasaikologia anaitwa Joshua Kennon ambaye alisumarise beliefs 7 ambazo ni
These seven great cult beliefs are:
  • The Fertility Cult
  • The Death Cult
  • The Prosperity Cult
  • The Blood Cult
  • The Self-Denial Cult
  • The Unknown Object or Process Cult
  • The Personality Cult
Watanzania wengi humu JF tunatua kwenye the self denial cult
 
Not true, ticketing imekuwa digitised na soo cheap hakuna hatta airline inatoa ticket, ni kikaratasi u simu n kitabulisho unasafiri, Kenya na nchi zote zinazofaidika n uchumi w style hii visa ni BURE endelea kuuliza
Hahahahahahahahahaha, kwahiyo KQ wanasafirisha abiria bure hawalipwi chochote?, Kwani E-ticket hailipiwi? [emoji1] [emoji1] [emoji1] . Unataka kusema watalii wote hawalipii viza zao?[emoji1] [emoji1] [emoji1]. Kaka taratibu usigeuke kuwa kichekesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila hata Ethiopia tourism is not that advanced most tourists come from conferences as a result of AU n UNECA. They probably count PAX on transit as local tourists.
Acha uongo revisit hii
› Travel
15 Aug 2017 · Here are Africa's top ten destination countries as published by ForwardKeys, based on the international arrivals from January to July 2017. South Africa. Egypt. Morocco. Mauritius. Tunisia. Kenya. Algeria. Tanzania.
 
Kwa mtazamo unaojengeka Tanzania, unaingia kwenye mtazamo wa mwanasaikologia anaitwa Joshua Kennon ambaye alisumarise beliefs 7 ambazo ni
These seven great cult beliefs are:
  • The Fertility Cult
  • The Death Cult
  • The Prosperity Cult
  • The Blood Cult
  • The Self-Denial Cult
  • The Unknown Object or Process Cult
  • The Personality Cult
Watanzania wengi humu JF tunatua kwenye the self denial cult

Ahaaa haaa haaa
Go straight to the subject matter at hand. Who was (recently) the first one to order bombardia FROM Canada!?
 
Hahahahahahahahahaha, kwahiyo KQ wanasafirisha abiria bure hawalipwi chochote?, Kwani E-ticket hailipiwi? [emoji1] [emoji1] [emoji1] . Unataka kusema watalii wote hawalipii viza zao?[emoji1] [emoji1] [emoji1]. Kaka taratibu usigeuke kuwa kichekesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeelewa namjibu nani kwa swali lipi usingejidhalilisha kwa kicheko jaribu kulipia swali la aliyetangulia
 
Aside 9 dreamliners, 10 Embraer plus 1 Boeing 777-300ER (B777-300ER) were loaned. Gosh didn't know that!

Out of close to $2Billion USD zilizotumika kununua hizo ndege zote, tayari zaidi ya $700m zilishalipwa, Kila mwaka KQ inalipa $200m tangu 2013... unafikiri kampuni za ndege hulipia vipi order za ndege 50 kwa mpigo? Akina KLM,Virgin, Delta wote hutumia mfumo huo kuorder ndege..... Hawatoi cash na kupiga order ya ndege 50 kwa mpigo. Order hizi huchukua miaka mingi kabla kuwa delivered na ukilipia kwa mpigo na hautabaki na pesa za matumizi ya kawaida utakua na shida ya liquidity.. Hapo ndo benki za aina hii huingilia na kuchukua risk yote ya ku order ndege hizi kwa mpigo... uki oder ndege nyingi kwa mpigo unafanyiwa discount.... baadae wakifanya delivery ndo unaanza kuwalipa benki...
KQ ilipokea ndege ishirini 20! kwa mpigo between 2013-2014.... kupitia kwa ufadhili wa Afreximbank dili ya Afrexim bank ilikua ni ya miaka kumi kama ilivyo andikwa hapo na KQ, from 2015-2025 KQ wanafaa wawe wamemaliza kulipa....
Kila mwaka KQ inalipa $200m (sawia na kununun dreamliner mpya at discount kila mwaka! for 10 years) kwa Afrexim bank... Tayari wamelipa over $700m hadi sasa.

--------------
PDPs are payable on the signing of the purchase agreement and on other dates in the run up to the scheduled delivery date of the aircraft in what is typically known as a “hard landing” (increasing) or a “soft landing” (decreasing) payment profile. These payments typically range between 15% to 30% of the total aircraft list/base/gross purchase price – i.e.: the price before discounts, credits, et cetera, which always serve in effect to reduce the aircraft’s list/base/gross price to varying degrees.2 PDPs represent a significant commitment and outlay of cash by the airline or lessor customer, especially in the case of multiple aircraft orders which, depending on the aircraft type(s) in question, can easily reach into billions of dollars. These payments function to decrease liquidity for months (or years) without increasing revenue, and so PDP financing is often sought to help maintain accounting liquidity.

PDP financing most typically takes the form of a short to medium term secured loan facility, made available by a PDP financier to an aircraft purchaser to finance the payment of PDPs owed by to the OEM under the relevant purchase agreement. The loan disbursements are typically made by the PDP financier directly to the OEM. Repayment terms available in the market may vary, though they typically require that the loan be serviced quarterly, with a balloon or bullet repayment on the aircraft delivery date.

An impediment to a financing of this nature is that there is no aircraft, yet, that can be used as security. Indeed, there is little more than a "paper airplane", insofar as the main security available to a PDP financier is an assignment, by way of security, of the aircraft purchase agreement (which is not the same as, for example, a mortgage over an actual existing aircraft). In light of the foregoing, one can imagine that PDP financing is often viewed as much of corporate credit risk than the traditional modes of financing actual existing aircraft. Therein is the fundamental discomfort and risk for most would-be PDP financiers.
Paper planes: the financing of aircraft pre-delivery payments : Clyde & Co (en)
------------------------------------------------
 
Acha uongo revisit hii
› Travel
15 Aug 2017 · Here are Africa's top ten destination countries as published by ForwardKeys, based on the international arrivals from January to July 2017. South Africa. Egypt. Morocco. Mauritius. Tunisia. Kenya. Algeria. Tanzania.
Tafuta cha kufanya mi sio level yako!

Screenshot_2018-08-19-16-47-42.png
 
Out of close to $2Billion USD zilizotumika kununua hizo ndege zote, tayari zaidi ya $700m zilishalipwa, Kila mwaka KQ inalipa $200m tangu 2013... unafikiri kampuni za ndege hulipia vipi order za ndege 50 kwa mpigo? Akina KLM,Virgin, Delta wote hutumia mfumo huo kuorder ndege..... Hawatoi cash na kupiga order ya ndege 50 kwa mpigo. Order hizi huchukua miaka mingi kabla kuwa delivered na ukilipia kwa mpigo na hautabaki na pesa za matumizi ya kawaida utakua na shida ya liquidity.. Hapo ndo benki za aina hii huingilia na kuchukua risk yote ya ku order ndege hizi kwa mpigo... uki oder ndege nyingi kwa mpigo unafanyiwa discount.... baadae wakifanya delivery ndo unaanza kuwalipa benki...
KQ ilipokea ndege ishirini 20! kwa mpigo between 2013-2014.... kupitia kwa ufadhili wa Afreximbank dili ya Afrexim bank ilikua ni ya miaka kumi kama ilivyo andikwa hapo na KQ, from 2015-2025 KQ wanafaa wawe wamemaliza kulipa....
Kila mwaka KQ inalipa $200m (sawia na kununun dreamliner mpya at discount kila mwaka! for 10 years) kwa Afrexim bank... Tayari wamelipa over $700m hadi sasa.

--------------
PDPs are payable on the signing of the purchase agreement and on other dates in the run up to the scheduled delivery date of the aircraft in what is typically known as a “hard landing” (increasing) or a “soft landing” (decreasing) payment profile. These payments typically range between 15% to 30% of the total aircraft list/base/gross purchase price – i.e.: the price before discounts, credits, et cetera, which always serve in effect to reduce the aircraft’s list/base/gross price to varying degrees.2 PDPs represent a significant commitment and outlay of cash by the airline or lessor customer, especially in the case of multiple aircraft orders which, depending on the aircraft type(s) in question, can easily reach into billions of dollars. These payments function to decrease liquidity for months (or years) without increasing revenue, and so PDP financing is often sought to help maintain accounting liquidity.

PDP financing most typically takes the form of a short to medium term secured loan facility, made available by a PDP financier to an aircraft purchaser to finance the payment of PDPs owed by to the OEM under the relevant purchase agreement. The loan disbursements are typically made by the PDP financier directly to the OEM. Repayment terms available in the market may vary, though they typically require that the loan be serviced quarterly, with a balloon or bullet repayment on the aircraft delivery date.

An impediment to a financing of this nature is that there is no aircraft, yet, that can be used as security. Indeed, there is little more than a "paper airplane", insofar as the main security available to a PDP financier is an assignment, by way of security, of the aircraft purchase agreement (which is not the same as, for example, a mortgage over an actual existing aircraft). In light of the foregoing, one can imagine that PDP financing is often viewed as much of corporate credit risk than the traditional modes of financing actual existing aircraft. Therein is the fundamental discomfort and risk for most would-be PDP financiers.
Paper planes: the financing of aircraft pre-delivery payments : Clyde & Co (en)
------------------------------------------------
Usipoteeze muda most of Tanzanians my brothers are cultist in the making
 
Wakenya hampo serious kwa hili ishu la Bombardier, inafaa siku yake ya kuwasili shughli zote zifungwe na iwe declared a National Holiday na pia site tuandamane hadi uwanja wa JKIA tupige Picha.
 
This is really JF tunazungumzia afrika, nimepata jibu la figures world wide, sawa nimejifunza zaidi kwako, kuliko miaka 40 ya hospitality industry nashukuru
Wewe taahira kweli hata huwezi ku-digest attachment niliyokupa. In Short Mauritius received in 2017 less number of tourists compared to Tanzania. A reason I tell u r not my level.
 
Tanzanian mentality Ili mtu ashinde arguments he will either attack yr personality to lower your self esteem, sawa kaka mimi ni muokota makopo, nakubali siyo level yako mkuuuu😀😀😀
 
We learn from u Kenyans quoting Kenyan websites. Utahira wa hali ya juu!
 
Back
Top Bottom