Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Na hii ndio maana ya kuishi vizuri na majirani sio kukurupuka kufanya mambo hovyo ukitafuta sifa za kijingaKama ambavyo Tanzania ilijifinza makosa ya Kenya katika ujenzi wa SGR na kuchagua njia tofauti na waliyotumia Kenya hatimae Tanzania inajenga more superior SGR than Kenya at half the price.
Sent using Jamii Forums mobile app