Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Na hii ndio maana ya kuishi vizuri na majirani sio kukurupuka kufanya mambo hovyo ukitafuta sifa za kijingaKama ambavyo Tanzania ilijifinza makosa ya Kenya katika ujenzi wa SGR na kuchagua njia tofauti na waliyotumia Kenya hatimae Tanzania inajenga more superior SGR than Kenya at half the price.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ambavyo Tanzania ilijifinza makosa ya Kenya katika ujenzi wa SGR na kuchagua njia tofauti na waliyotumia Kenya hatimae Tanzania inajenga more superior SGR than Kenya at half the price.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuongezea, kuna watu wanasema kuhusu Ethiopia electric sgr failure will also happen in Tz, Kwa njia hiyo hiyo ya kujifunza as we speak kuna vijana wa Tz wapo Ethiopia wanajifunza darasani na kwa vitendo kuhusu electric sgr na changamoto zake. Prophets of doom are in for a shockNa hii ndio maana ya kuishi vizuri na majirani sio kukurupuka kufanya mambo hovyo ukitafuta sifa za kijinga
Simba mwenda pole ndio mla nyama..Kuongezea, kuna watu wanasema kuhusu Ethiopia electric sgr failure will also happen in Tz, Kwa njia hiyo hiyo ya kujifunza as we speak kuna vijana wa Tz wapo Ethiopia wanajifunza darasani na kwa vitendo kuhusu electric sgr na changamoto zake. Prophets of doom are in for a shock
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Wakenya wanajifanya wanajua kila kitu, hawataki kuwa humble ili waweze kujifinza kwa wengine, from individuals to National level wanataka wao kuonekana wanajua kila kitu wakati uwezo wao ni mdogo sana, matokeo yake kila wanalofanya wanakosea lakini hawataki kukubaliana na ukweli badala yake wanaendelea kufanya makosa kila siku.Simba mwenda pole ndio mla nyama..