nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Hata Kenya sukari iko kibao!Naomba kuuliza uhusiano baina ya Tz Bara na Zanzibar kuhusiana na suala la Sukar.
Tanzania bara sukar umekua adimu na ikipatikana inauzwa kwa bei ya juu sana.
Zanzibar sukar inapatikana kwa bei ya chini sana kilo moja 1700-2000. Na huruhusiwi kuagiza sukar toka Zanzibar kwenda Dar zaid ya kilo 5-10. Usisangae ukituma sukar zaid ya kilo5 ikataifishwa bandarin na mamlaka. Sijafaham kwanini na kuna nini ndan ya muungano huu. Sijausoma mkataba huu na nilifaulu somo la urai lkn nimeshasahau kila kitu.
Au inajumuishwa ktk bishara za kutoka njee lakin ingekua vyema waruhusu watumiaji wanunue toka znz kwa matumizi hususan mwez huu.. Maamuzi mengine Unaweza jifungia chooni kutafakar na usipate jibu .. TUELEMISHANE TAFADHAL.
Mzee amefanikiwa ku-control karibu kila sekta nchini inakwenda vzr. Nadhani tumuombe na hili jambo la kuadimika sukari kila mwezi wa ramadhani angalau 2021 liwe tumelimaliza. ngoja tuone. tufanyeni subira kwani subira yavuta kheri.Hii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao.
Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema.
Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari halafu ukitoka hapo wanakuja watu wa serikali za mitaa wanataifisha.
Kishindo cha awamu ya tano kwelikweli!
Jana nimeenda sehemu asubuhi nataka chai naambiwa hakuna, kuuliza kwanini wanasema sukari hakuna madukani.
Wanawalazimisha wauzaji wa rejareja wauze kwa bei wanazotaka serikali (bei elekezi), wakati hao jamaa walinunua sukari yao kwa bei ya juu toka kwa wauzaji wa jumla, wauzaji wa rejareja walichoamua sasa ni kuificha sukari yao, hawaiuzi wasijepata hasara.
Ndio nikapata akili, naona siku hizi kama taifa tumeanza kurudi nyuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao.
Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema.
Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari halafu ukitoka hapo wanakuja watu wa serikali za mitaa wanataifisha.
Kishindo cha awamu ya tano kwelikweli!
Zanzibar sukar ni 1700Hii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao.
Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema.
Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari halafu ukitoka hapo wanakuja watu wa serikali za mitaa wanataifisha.
Kishindo cha awamu ya tano kwelikweli!
Apa Tanzanian kufanya bihashara unafaidika faster kama unao mtaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh...!.Naomba kuuliza uhusiano baina ya Tz Bara na Zanzibar kuhusiana na suala la Sukar.
Tanzania bara sukar umekua adimu na ikipatikana inauzwa kwa bei ya juu sana.
Zanzibar sukar inapatikana kwa bei ya chini sana kilo moja 1700-2000. Na huruhusiwi kuagiza sukar toka Zanzibar kwenda Dar zaid ya kilo 5-10. Usisangae ukituma sukar zaid ya kilo5 ikataifishwa bandarin na mamlaka. Sijafaham kwanini na kuna nini ndan ya muungano huu. Sijausoma mkataba huu na nilifaulu somo la urai lkn nimeshasahau kila kitu.
Au inajumuishwa ktk bishara za kutoka njee lakin ingekua vyema waruhusu watumiaji wanunue toka znz kwa matumizi hususan mwez huu.. Maamuzi mengine Unaweza jifungia chooni kutafakar na usipate jibu .. TUELEMISHANE TAFADHAL.
Kwa nini wasiingize kutoka Zambia au ndio kupenda vya kwetu, tulioko huku mpakani tunanunua kiroba cha kilo 20 kwa elfu 35
Sent using Jamii Forums mobile app
Kivipi
Ulitegemea upate sukari ya magendo kwa buku jero?Uganda sukari ipo, Kenya ipo, Zanzibar ipo ila Tanganyika haipo.
Uganda kilo ya sukari ni tzs 1800 za kitanzania, huku Tanzania ni 3500 hadi 5000 tena hapo kwa magendo.
Hii nchi sukari saga ni kila mwaka.