Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
na ndiko tunakoelekea..hata corona mmetuletea nyie...Muda si mrefu Polepole ataanza kuwadanganya wananchi kuwa Chadema wameficha Sukari
SADC na AU wameshajua, waTanzania badoHivi mpaka leo hii nchi haijawahi kujuwa kuwa tatizo ni Magufuli?
Nyama,chumvi,mafuta na wanga sio vizuri pia mimi nakupa ushauri wa kitaalam ule majani na matunda kama ngedere mwituni.
Kwani unafikiri nakula nini? Au unafikiri watu wote duniani tunakula upuuzi unaokula wewe? Mimi ni vegetarian kwa taarifa yako.
Usitake kutufanya wote vegetarian sasa na kuhalalisha upuuzi kwa kututisha kuacha kula ambavyo vimekuwa vikiliwa karne na karne na ambavyo wewe kwa mapenzi yako umeamua kuviacha.
Huu mjadala kifupi haukuhusu.
Mimi ni mtaalam. Ndio kazi yangu hii. Sukari siyo nzuri kwa mwili wa binadamu. Huu ni ukweli hauwezi kubadilika kwa ubishi.
Zanzibar kuna kiwanda kikubwa cha sukari sijui kwanini wasiruhusu iletwe huku bara....
Kiroba cha sukari kilikuwa kinauzwa elfu hamsimi na sita kama sikosei lakini sasa imepanda hadi kufikia elfu 96
Wewe unafikri hilo jambo la kunywa chai bila sukari nilakuwezekana leo kwa ushauri wako wa JF?Watu mmekuwa wajing* sana. Kila kitu mnakipeleka kwenye mambo ya vyama. Mimi nakupa ushauri wa kitaalam kuwa sukari siyo nzuri kwa mwili. Wewe unaona mimi ni mwanachama wa chama fulani. Hii mentality ya kuona kila kitu kwa kupitia lenzi ya vyama ni ya hovyo sana. Tubadilike. Mimi wala sihusiki na nchi. Niko nje ya Tanzania.
Kama watu kwa ujumla wao wakielimika kuhusu madhara ya sukari na kuacha ama kupunguza matumizi ya sukari, mamalishe atataka sukari ya nini? Mbona unashindwa ku-reason vitu vidogo kama hivi? Waasia kama Wajapan na Wachina unywa chai bila sukari. Sasa mamalishe wa Japan atataka sukari ya nini?