Tazama foleni hii ya wanunuzi wa sukari Morogoro. Juzi Waziri Bashungwa kapitishiwa bajeti ya hovyo iliyoungwa mkono na wanaccm wote Bungeni

Tazama foleni hii ya wanunuzi wa sukari Morogoro. Juzi Waziri Bashungwa kapitishiwa bajeti ya hovyo iliyoungwa mkono na wanaccm wote Bungeni

Washaanza jikuna kalio na kunusa warudi wakajioshe vizuri (watuombe msama kwa kusifu vitu vya kitaalamu kwa kutumia siasa)
 
Kwani unafikiri nakula nini? Au unafikiri watu wote duniani tunakula upuuzi unaokula wewe? Mimi ni vegetarian kwa taarifa yako.
Nyama,chumvi,mafuta na wanga sio vizuri pia mimi nakupa ushauri wa kitaalam ule majani na matunda kama ngedere mwituni.
 
hata dodoma wanakojitapa kuwa makao makuu nako sukari haionekani mtaani, katika maduka kumi yaliyokuwa yanauza sukari kwasasa ni wastani wa duka moja tu ndio unaweza kupata sukali. Kama kamkoa kadogo kama dodoma alafu makao makuu nako kamewashinda sukari kupatikana wakati wote...mikoa mingine sishangai hilo tatizo. Hatuna viongozi madhubuti nchi hii ambao wanaweza tetea wananchi kwa dhati ya mioyo yao
 
Usitake kutufanya wote vegetarian sasa na kuhalalisha upuuzi kwa kututisha kuacha kula ambavyo vimekuwa vikiliwa karne na karne na ambavyo wewe kwa mapenzi yako umeamua kuviacha.
Huu mjadala kifupi haukuhusu.
Kwani unafikiri nakula nini? Au unafikiri watu wote duniani tunakula upuuzi unaokula wewe? Mimi ni vegetarian kwa taarifa yako.
 
Mimi ni mtaalam. Ndio kazi yangu hii. Sukari siyo nzuri kwa mwili wa binadamu. Huu ni ukweli hauwezi kubadilika kwa ubishi.
Usitake kutufanya wote vegetarian sasa na kuhalalisha upuuzi kwa kututisha kuacha kula ambavyo vimekuwa vikiliwa karne na karne na ambavyo wewe kwa mapenzi yako umeamua kuviacha.
Huu mjadala kifupi haukuhusu.
 
Sukari sio nzuri ukizidisha,ukiitumia kwa kiasi haina tatizo.
Tatizo ni kuzidisha kiasi,hata ukizidisha Ugali,wali,Chips,Chapati,mafuta n.k ni tatizo.
Mimi ni mtaalam. Ndio kazi yangu hii. Sukari siyo nzuri kwa mwili wa binadamu. Huu ni ukweli hauwezi kubadilika kwa ubishi.
 
Sukari ni mwanzo tu.

High price crisis(I Jahman Levy)
inakuja kwa kila bidhaa muhimu.

Kila siku, kila saa, kila dakika.
Bei zitakuwa zinapanda tu.

Brace yourself.

P.S. Ni ramli tu wakuu.

Badala ya kutupiana mawe, tuombeane!
 
Watu mmekuwa wajing* sana. Kila kitu mnakipeleka kwenye mambo ya vyama. Mimi nakupa ushauri wa kitaalam kuwa sukari siyo nzuri kwa mwili. Wewe unaona mimi ni mwanachama wa chama fulani. Hii mentality ya kuona kila kitu kwa kupitia lenzi ya vyama ni ya hovyo sana. Tubadilike. Mimi wala sihusiki na nchi. Niko nje ya Tanzania.

Kama watu kwa ujumla wao wakielimika kuhusu madhara ya sukari na kuacha ama kupunguza matumizi ya sukari, mamalishe atataka sukari ya nini? Mbona unashindwa ku-reason vitu vidogo kama hivi? Waasia kama Wajapan na Wachina unywa chai bila sukari. Sasa mamalishe wa Japan atataka sukari ya nini?
Wewe unafikri hilo jambo la kunywa chai bila sukari nilakuwezekana leo kwa ushauri wako wa JF?

Unalinganisha mamalishe wa Japan na Tanzania.

Unasema uko nje ya tanzania halafu unaleta reasoning ya kitoto namna hii ?

Kuna sehemu kwenye hoja yangu nimetaja wewe ni mwanachama wa chama cha siasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau nimetafuta sukari kuanzia Mbagala Rangi tatu - Temeke-Tandika toka saa 4 asubuhi sijafanikiwa kuipata. tadadhali msaada. Vinginevyo kesho inavid kifukga mgahawa wangu pale Zakhem
 
Adi ikosekane chato ndo serikari ita amka

sijui itakuaje
 
Sukari yaadimika kila kona; Uswahilini ni kilio. Asali bei juu, Tangawizi, Limao, pilipili manga pia. Chumvi yatumika kwenye uji!

Je mikakati iliyopangwa ili kuhakikisha upatikanaji wa sukari kwa bei elekezi, imekwama wapi?
 
Na nani ana husika kuhakikisha tunakuwa tuna kiasi cha kutosha kila wakati
 
Back
Top Bottom