Hata ugali ukila mwingi sana utapata tabu sana acha kutumia maneno haya kama kisingizio sukari imeadiamika mtaani tunahitaji ufumbuzi wa tatizo na sio longolongo.Sugar IS NOT good for you.
Nchi hii ingekuwa ina wananchi wanaotambua haki zao hili sakata la corona na sukari yalitosha kabisa kuiondoa hii serikali madarakani kwa nguvu.Hii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao.
Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema.
Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari halafu ukitoka hapo wanakuja watu wa serikali za mitaa wanataifisha.
Kishindo cha awamu ya tano kwelikweli!
Wapo wengi tu hawajavaa barakoa.Hii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao.
Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema.
Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari halafu ukitoka hapo wanakuja watu wa serikali za mitaa wanataifisha.
Kishindo cha awamu ya tano kwelikweli!
Hii imenikumbusha mwaka 1980 baada ya vita ya Kagera!Hii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao.