Hii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao.
Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema.
Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari halafu ukitoka hapo wanakuja watu wa serikali za mitaa wanataifisha.
Kishindo cha awamu ya tano kwelikweli!
imefikia kilo elfu 4. mtaani haipatikani.
Morogoro wanunua kwa foleni.
huko ulipo hali ikoje!?
Sent from my iPhone using JamiiForums
tupeane machimbo tukanunue
Iftar haifai bila sukar jamani.
Nimezunguka Kimara nimeenda mpaka Mbezi sukari Hamnajana nimeenda sehemu kupata iftar naambiwa uji hauna sukari. wakasema haipatikani.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Talk is cheap!Tatizo la watanzania hawafuati maelezo ya viongozi wao mbona naibu waziri wa viwanda na biashara Stella Manyanya aliisema tutumie asali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli.