Tazama foleni hii ya wanunuzi wa sukari Morogoro. Juzi Waziri Bashungwa kapitishiwa bajeti ya hovyo iliyoungwa mkono na wanaccm wote Bungeni

Tazama foleni hii ya wanunuzi wa sukari Morogoro. Juzi Waziri Bashungwa kapitishiwa bajeti ya hovyo iliyoungwa mkono na wanaccm wote Bungeni

Hizi zitakuwa hujuma za wapinzani, wanatumwa na mabeberu kuja kuhujumu juhudi za Meko.
Hii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao.

Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema.

Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari halafu ukitoka hapo wanakuja watu wa serikali za mitaa wanataifisha.

Kishindo cha awamu ya tano kwelikweli!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
tupeane machimbo tukanunue
Iftar haifai bila sukar jamani.
 
imefikia kilo elfu 4. mtaani haipatikani.

Morogoro wanunua kwa foleni.

huko ulipo hali ikoje!?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Attachments

  • Screenshot_2020-05-10-11-40-41-264_com.twitter.android.jpg
    Screenshot_2020-05-10-11-40-41-264_com.twitter.android.jpg
    136.6 KB · Views: 1
tupeane machimbo tukanunue
Iftar haifai bila sukar jamani.

jana nimeenda sehemu kupata iftar naambiwa uji hauna sukari. wakasema haipatikani.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mie Naona sukari sio muhimu sana kuitumia tuanze kutumia asali
 
jana nimeenda sehemu kupata iftar naambiwa uji hauna sukari. wakasema haipatikani.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Nimezunguka Kimara nimeenda mpaka Mbezi sukari Hamna
 
Maeneo niliyopo duka moja tu ndo lauza 2700 per kg sema ndani ya hizi siku 2 mzigo utakauka maana wateja wa jirani wanawaalika walio mbali.
 
Back
Top Bottom