instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Hali ya Barabara za Masaki. Sehemu yenye watalii wanaokuja kutembelea Tanzania, hotel za kimataifa, balozi mbali mbali.nk
Wengi wakija Tanzania na kuona aina ya hiz barabara wanaona Tanzania haina uongozi na corruption imetamalaki. Wazungu uchukulia Tanzania hivyo
Hiv serikali inashindwa kutenga Billion hata 7 kufumua na kujenga upya barabara hiz at least kuanza na Toure, Haile selasie, kimweri Avenue na chole road ifanane kama ile inayopita coco beach?
Mpaka Magufuli afufuke tena?
Pia Soma:
- KERO - Barabara za Masaki na Oysterbay zimechoka mno, haziendani na hadhi yake na zinafedhehesha