Tazama hali ya Barabara za masaki 2024! Ni aibu ya nchi

Tazama hali ya Barabara za masaki 2024! Ni aibu ya nchi

Kiranga anasemaje kuhusu hili? Aliwahigi kutueleza yaliyojiri na yanayojiri huko Masaki alipokuwa akiiishi zamani.
Oysterbay na Masaki kiujumla zimeharibika sana, si barabara, mpaka nyumba. Watu wamejenga kiholela sana.

Oysterbay si ile tuliyokulia miaka hiyoo ya nyuma.
 
Mambo ya masaki unatakiwa kuandika Kwa kingereza, umesikia ww baba mwenye Uzi
 
Back
Top Bottom