D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Aug 20, 2024 #61 Hii nchi imelaanika
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 Aug 21, 2024 #62 SYLLOGIST! said: Kiranga anasemaje kuhusu hili? Aliwahigi kutueleza yaliyojiri na yanayojiri huko Masaki alipokuwa akiiishi zamani. Click to expand... Oysterbay na Masaki kiujumla zimeharibika sana, si barabara, mpaka nyumba. Watu wamejenga kiholela sana. Oysterbay si ile tuliyokulia miaka hiyoo ya nyuma.
SYLLOGIST! said: Kiranga anasemaje kuhusu hili? Aliwahigi kutueleza yaliyojiri na yanayojiri huko Masaki alipokuwa akiiishi zamani. Click to expand... Oysterbay na Masaki kiujumla zimeharibika sana, si barabara, mpaka nyumba. Watu wamejenga kiholela sana. Oysterbay si ile tuliyokulia miaka hiyoo ya nyuma.
yahooo Senior Member Joined Apr 8, 2015 Posts 126 Reaction score 276 Aug 21, 2024 #63 Mambo ya masaki unatakiwa kuandika Kwa kingereza, umesikia ww baba mwenye Uzi